Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.

View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
Hizi huwa ni mbwembwe labda kama anampango wa kumleta Mwinyi Bara tutamuelewa kinyume na hapo tutamlazimisha.

Maana hii nchi haisomeki anaweza akaja mwehu mwingine hapa pakachimbika,miaka ya Maza ndio ya kutafuta pesa
 
That's a political language. Angesema: ^Sitagombea 2025,^ tungemwelewa!!! Leo hana wazo la kugombea; vipi wazo hilo likimjia kesho au keshokutwa, kama hili la ^ugaidi^ wa Mr Hai?
Kama hana mpango wa kugombea kwanini aliwaonya waliokuwa wanajionyesha kuelekea 2025.

Pia ni lini aliwahi kugombea
 
Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.

View attachment 1887958
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
Uhuru wakemewe. Hawajui madhara ya habari kama hizi. Zinapunguza mzuka watu kusema mazuri ya Mh Rais, badala yake wanawekeza nguvu kwenye mbio za urithi. Ikitokea mama kabadili gia angani anajikuta hana tena wapambe wa kumpigania.
 
Samahani sana naomba kujua hivi Rais huwa ni mwanasiasa au Mtumishi??
Maana sielewi wakati gani anakuwa mwanasiasa na wakati gani anakuwa mkuu wa utumishi
Kauli kama hizi zilitakiwa ziweke library kwa matumizi ya baadae
Unaweza kuona 2025 ni mbali lakini ni kesho tu
 
Muda wote kwa Tanzania ni mwanasiasa
 
Nini faida ya kusema hivi sasa hivi, zaidi ya kuwafanya watu waache kufanya kazi na kupanga timu za 2025 ?

Hata kama hauna mpango si ufanye siri yako...
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Corona ipo Moshi na Arusha kwa sababu ya laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
 
Inawezekana Mama Samia alisema hivyo kupima upepo ukoje

Ila kwa CCM Yuko sahiihi hairuhusiwi kuanza kampeni kabla ya muda Ni kosa .Tamko lake liko sahihi wale wapiga debe wa ohhh lazima agombee katiba ya CCM hairuhusu na wale mnaosema labda fulani ndiye mnakosea katiba ya CCM hairuhusu.Tafuteni hoja zingine za kujikomba iwe kwa Raisi Samia ,Majaliwa au yeyote.Filimbi ya kuanza kampeni haijapigwa.Wajipendekezaji huu sio wakati wake.Filimbi itapigwa 2025
 
Back
Top Bottom