johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ahsanteee!Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Source: Gazeti la CCM Uhuru
Naunga mkono hii comment.Huo ni pumbaza jinga.
Subiri by 2025, kampeni za hapa na pale za kumshinikiza na kunchukulia fomu zitapamba moto.
Dah umemtabiria kabisa, majaliwa mkuu.Na ni vizuri iwe hivyo.
Majaliwa 2025 kijiti ni chako baba,Tunakuombea
Uhuru watakuwa wamemzushia. Lini akisema hii kitu... Nimeisikiliza interview yake na BBC sikuisikia.Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
SEMA UNAMUOMBEA SIO TUNAKUOMBEA. Nchi haiwezi kuwa na Rais mpaka pikoNa ni vizuri iwe hivyo.
Majaliwa 2025 kijiti ni chako baba,Tunakuombea
Mungu atatupigania, nasi tutanyamaza kimyaNdio hana ila tutamlazimisha tu, atake asitake
USSR
Uhuru ni kijarida cha vichekeshoUhuru watakuwa wamemzushia. Lini akisema hii kitu... Nimeisikiliza interview yake na BBC sikuisikia.
Zile chokochoko anazozisema zimo within.