KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Mwishoni umekosea kidogo. Kwa mintarafu ya vile vitabu, huyu hatapumzika kwa amani aslani.Unajinyonga kwa sababu ya maisha magumu?,nani kasema maisha ni rahisi rahisi tu pasipo kupambana?,apumzike kwa amani
Kuna msamaha!Mwishoni umekosea kidogo. Kwa mintarafu ya vile vitabu, huyu hatapumzika kwa amani aslani.
Sababu Ni Nini?Hapana amejinyonga mwenyewe , kwani ni guest house ya mmewe!! Na mfanya kazi wao ndio alibakia na mtoto wake hapo mapokezi akampa chumba.
Alikuwa na ugomvi na mme wake, hampi pesa ya matumizi ya watoto!!na mme wake haonekani nyumbani, na walikuwa na kesi mahakamani juu ya suala hilo!!Sababu Ni Nini?
zamani nilikuwa najua watu wanaojinyonga huwa ni wahehe tu. huko geita mhehe alienda kufanya nini sasa? mmewaonea sana wajomba zangu wa kihehe.KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki Mwananzoka.
Duu[emoji7][emoji849]Taifa linapitia katika mateso ya laana baada ya kumpata mfalme Yezabeli a.k.a Hangaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taifa linapitia katika mateso ya laana baada ya kumpata mfalme Yezabeli a.k.a Hangaya.
Taifa linapitia katika mateso ya laana baada ya kumpata mfalme Yezabeli a.k.a Hangaya.
Sasa hapo ndo akili ni nywele, angefikiri vizuri angejua hata akijinyonga hatapata hiyo hela angefanya kazi tuu apate hizo hela.Kajinyonga!!kwani alikuwa na mtoto wa miezi 6, akamuachia dada wa mapokezi, na kumwambia mshike mtoto mimi nikajipumzishe kidogo, cjisikii vizuri!!kumbe chooni kuna ngazi inayotumiwa na mafundi, ndio akapanda juu ya dali na kujitundika!!kisa ni kuwa mme wake alikuwa hampi matunzo ya watoto!!
Baada ya kufa ataombaje msamaha?Kuna msamaha!