Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

Mkiambiwa Nchi imeingia kwenye laana bado mnabisha?
Na bado, yajayo ni mengi na makubwa. Tubuni kwani chanzo cha laana kinafahamika.
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa mji mdogo Katoro wilayani Geita mkoani hapa amekutwa amejinyonga kwa kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayomilikiwa na mumewe.

Kamanda wa polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema polisi wanaendelea na uchunguzi wa kifo hicho.

Tukio hilo limetokea Februari 3, 2022 saa 12 jioni baada ya mwanamke huyo kufika kwenye nyumba ya wageni na kumtaka mmoja wa wahudumu amsaidie mtoto mwenye umri wa miezi minne kwa kuwa yeye anajisikia vibaya.

Akizungumzia tukio hilo, mhudumu wa nyumba hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Monica Paul amesema, mke wa mwajiri wake alifika kwenye eneo hilo saa 8 mchana na kumtaka amsaidie mtoto ili yeye apumzikekwa kuwa hayuko vizuri kiafya.

Amesema baada ya hapo alipewa chumba, lakini baadaye walikuta mwili ukining’inia juu chooni, baada ya mteja mwingine kuomba huduma ya choo alichojinyongea mwanamke huyo.

Kiongozi wa eneo hilo, Stephano Bandola amesema hawajajua chanzo cha mwanamke huyo kujinyonga lakini akadai inaweza kuwa mgogoro wa kifamilia.

Juhudi za kumpata mume wa mwanamke huyo hazikufanikiwa baada ya kuelezwa yuko safarini nje ya Katoro.

MWANANCHI
 
KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki Mwananzoka.
zamani nilikuwa najua watu wanaojinyonga huwa ni wahehe tu. huko geita mhehe alienda kufanya nini sasa? mmewaonea sana wajomba zangu wa kihehe.
 
Mkiambiwa Nchi imeingia kwenye laana bado mnabisha?
Na bado, yajayo ni mengi na makubwa. Tubuni kwani chanzo cha laana kinafahamika.
Tufumbue huenda ni laana ya nini
 
zamani nilikuwa najua watu wanaojinyonga huwa ni wahehe tu. huko geita mhehe alienda kufanya nini sasa? mmewaonea sana wajomba zangu wa kihehe.
Wametuambukiza
 
Taifa linapitia katika mateso ya laana baada ya kumpata mfalme Yezabeli a.k.a Hangaya.

kujinyonga mtu mmoja Geita huko basi Taifa liko kwenye laana.... wanaojinyonga wote duniani basi mataifa yao yako kwenye laana....kwa tafsili yako basi dunia nzima iko kwenye laana..
 
Kajinyonga!!kwani alikuwa na mtoto wa miezi 6, akamuachia dada wa mapokezi, na kumwambia mshike mtoto mimi nikajipumzishe kidogo, cjisikii vizuri!!kumbe chooni kuna ngazi inayotumiwa na mafundi, ndio akapanda juu ya dali na kujitundika!!kisa ni kuwa mme wake alikuwa hampi matunzo ya watoto!!
Sasa hapo ndo akili ni nywele, angefikiri vizuri angejua hata akijinyonga hatapata hiyo hela angefanya kazi tuu apate hizo hela.
 
Back
Top Bottom