Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hivi hakula au nini?Yule Aliyepiga Penalty Ya Kichovu [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hakula au nini?Yule Aliyepiga Penalty Ya Kichovu [emoji23]
Ndivyo Kocha Wake Kutoka Madrid Alivyomfundisha Vile [emoji23]Hivi hakula au nini?
Nadhani kocha wetu wa Madrid alipokea maelekezo kutoka kwa zidane sema simu ya zidane vocha ilikata mkuu.Ndivyo Kocha Wake Kutoka Madrid Alivyomfundisha Vile [emoji23]
Vocha Haikutaka Mkuu Wahuni Walipita Nayo Na Boda Boda Alikuwa Akitembea Anarudi Kwake... Baadae Bwn Zidane Akawajulisha Kwa Ujumbe Mfupi Kuwa Aliiibiwa Simu Ndo Maana Ghafla Akapotea Kwenye Line.Nadhani kocha wetu wa Madrid alipokea maelekezo kutoka kwa zidane sema simu ya zidane vocha ilikata mkuu.
Kwahyo Makambo tulimsajiri ili aje awe mkalimani wa Kocha...safi
Nasikia chama mazoezini anajiita mayeleScars unateseka ukiwa wapi!??
Kwa comment hii wewe ni mpuuziNdio vizuri
Nimepiga teke ndoo ya karanga hapa baada ya mayele kufanya yake.
Liuzaji ni kolo sijui nafanyeje.
Si mlisema wamepewa helaKwanini Nyosso na Adeyum hawajapangwa leo?