Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Hawa Yanga ndio wanaelekea ivo kukata moto.. kama timu ndogo kama Geita wametepeta hivi, je wakikutana na Mbeya city itakuwaje
Naona kauli za kukata moto zimerudi tena kama raundi ya kwanza mliongea weee habari za kukata moto lakini mpaka sasa timu inayokata moto ndio inayoongoza ligi
 
Bonge la gemu
Mpira umechezwa kiwango cha juu saana.
Kocha wa Yanga ambaye ni injinis Hersi kafanya kazi nzuri sana, Kocha msaidizi Nabi amshukuru kocha mkuu.
Na Haji Manara ambye ni msemaji/mhamasishaji/mkereketwa/ ceo kivuli,/mchapa kazi haswa anayelipwa fedhwa nyiingi kuliko Bumbuli, Msolwa, Mwakalebela na wengineo bila yeye Yanga ingekuwa nafasi ya tatu - sifa zooote kwa Gsm wenyewe.
 
Mwaka wa Yanga huu wanastahili hata wasipocheza vizuri wanapata matokeo hata wanapowakosa wachezaji muhimu wanapata matokeo ndivyo timu zinavyochukuwa ubingwa hivyo hizi story zengine tumezizoea kwenye soma letu.
Haya Kila la kheri wananchi
 
Bonge la gemu
Mpira umechezwa kiwango cha juu saana.
Kocha wa Yanga ambaye ni injinis Hersi kafanya kazi nzuri sana, Kocha msaidizi Nabi amshukuru kocha mkuu.
Na Haji Manara ambye ni msemaji/mhamasishaji/mkereketwa/ ceo kivuli,/mchapa kazi haswa anayelipwa fedhwa nyiingi kuliko Bumbuli, Msolwa, Mwakalebela na wengineo bila yeye Yanga ingekuwa nafasi ya tatu - sifa zooote kwa Gsm wenyewe.
Huyu kasha liwa aje mwingine....
IMG-20220304-WA0014.jpg
 
Kuna kolo hapa lilikuwa linamsema mayele alipofunga nikalitemea mate usoni.

Au basi naskia jamaa mwanajeshi.
 
Back
Top Bottom