libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Wamesikia dua zakoHawa mabeki wa Geita si wamtengue Mayele tupumue huku mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesikia dua zakoHawa mabeki wa Geita si wamtengue Mayele tupumue huku mtaani
Ushindi mwingine dhaifuFT' Geita 0-1 Yanga
Kituo Kinachofata?????Ushindi mwingine dhaifu
KMC, Ni Mwendo Wa Dozi Tu [emoji4]Kituo Kinachofata ????
Hawa Yanga ndio wanaelekea ivo kukata moto.. kama timu ndogo kama Geita wametepeta hivi, je wakikutana na Mbeya city itakuwaje
Tuendelee kula mtori,nyama tutazikuta chiniHawa Yanga ndio wanaelekea ivo kukata moto.. kama timu ndogo kama Geita wametepeta hivi, je wakikutana na Mbeya city itakuwaje
Makolo mnaumia,,Mechi 2 zilizopita yanga walishinda ngapi?Ushindi mwingine dhaifu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya City ipi? Ile ambayo wachezaji wake walishangilia kupata sare baada ya dk 90 kuisha pale kwa Mkapa, au?
KMCKituo Kinachofata ????
Ameipeleka Zungu kama kawaida yake,usiumie sanaMnamsikia huyu jamaa anayejiita George Mpole anachokizungumza lakini? Ni bahasha tu imetembea kwake
Ndiyo ni sehemu ya kazi yake kwenye kontraktiKwahyo Makambo tulimsajiri ili aje awe mkalimani wa Kocha...safi