GEITA: Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Rais Samia akutana na Wajumbe wa kamati ya Siasa Mkoa, Dr Msukuma atia neno

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita.
IMG-20221015-WA0285.jpg

IMG-20221015-WA0275.jpg

IMG-20221015-WA0286.jpg

IMG-20221014-WA0125.jpg

#CCMImara
#KaziIendelee
 
Tuna nchi ya kipuuzi mnooooo, Inawezekana vipi CCM wafanye siasa wao wenyewe huku vyama vingine vikizuiliwa? Huu ni ujinga na stupidity ya Hali ya juu. Hivi hakuna washauri? Nini nafasi ya Wazee wa CCM? Hawaoni aibu? Aibuuuu saaana
 
Nani kakuzuia Wewe Kufanya siasa za ndani kama hizi?
 
Tuna nchi ya kipuuzi mnooooo, Inawezekana vipi CCM wafanye siasa wao wenyewe huku vyama vingine vikizuiliwa? Huu ni ujinga na stupidity ya Hali ya juu. Hivi hakuna washauri? Nini nafasi ya Wazee wa CCM? Hawaoni aibu? Aibuuuu saaana
Msimu wa uchaguzi huu bwege wa ufipa. Utapanuka moyo bure bwanakaka. Hili chama linajulikana Africa yote na duniani Kwa mfumo wa kidemokrasia unaotoa viongozi Bora kabisa. Chaguaneni tu na nyie nani amewakataza?. Nilishawashauri kitambo kama hamtafurusha dikteta DJ makengeza Kwa kiti basi mtazidi kupotea kwenye medani ya siasa za nchi hii. Hakuna uamsho Wala bashasha tena kutoka Kwa watanzania. Sababu mmeishiwa Agenda , mmebaki kudandia hoja za viti vya Rais madhabahuni. What a shame 🤣
 
Hakuna mwanaccm anataka au kuona aibu wapinzani kutokufanya siasa, maana CCM haiwezi tena kufanya siasa za ushindani. Hivyo namna pekee ni kutumia nguvu yao ya dola kuzuia vyama vingine kufanya siasa. Chama kikishazeeka na kuishiwa mbinu, mabavu tu ndio huo kimbilio lao. Machafuko pekee ndio huvitoa madarakani vyama vya aina ya CCM.
 
Msimu wa uchaguzi huu bwege wa ufipa. Utapanuka moyo bure bwanakaka. Hili chama linajulikana Africa yote na duniani Kwa mfumo wa kidemokrasia unaotoa viongozi Bora kabisa. Chaguaneni tu na nyie nani amewakataza?. Nilishawashauri kitambo kama hamtafurusha dikteta DJ makengeza Kwa kiti basi mtazidi kupotea kwenye medani ya siasa za nchi hii. Hakuna uamsho Wala bashasha tena kutoka Kwa watanzania. Sababu mmeishiwa Agenda , mmebaki kudandia hoja za viti vya Rais madhabahuni. What a shame 🤣
Cha kuchekesha wapinzani wakianza mikutano tu chama la wazee linajibanza tena kwenye vyombo vya dola. Uchaguzi ukifika ndio chama la wazee linajitoa ufahamu mazima na kuishia kupora uchaguzi.
 
😂😂😂Hizi zinaitwa za uso live
 
Cha kuchekesha wapinzani wakianza mikutano tu chama la wazee linajibanza tena kwenye vyombo vya dola. Uchaguzi ukifika ndio chama la wazee linajitoa ufahamu mazima na kuishia kupora uchaguzi.
Mkuu unateseka Sana huko Njoo CCM urudishe hata mwili
 
Msimu wa uchaguzi huu bwege wa ufipa. Utapanuka moyo bure bwanakaka. Hili chama linajulikana Africa yote na duniani Kwa mfumo wa kidemokrasia unaotoa viongozi Bora kabisa. Chaguaneni tu na nyie nani amewakataza?. Nilishawashauri kitambo kama hamtafurusha dikteta DJ makengeza Kwa kiti basi mtazidi kupotea kwenye medani ya siasa za nchi hii. Hakuna uamsho Wala bashasha tena kutoka Kwa watanzania. Sababu mmeishiwa Agenda , mmebaki kudandia hoja za viti vya Rais madhabahuni. What a shame 🤣
Huu ni upuuzi wa kiwango Cha SGR aiseeee heri hata usingeongea
 
Ili uwe Rais nchi hii lazima uwe karibu na Kanda ya Ziwa vinginevyo utapishana na gari la mshahara
 
Back
Top Bottom