Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

Habari za mapumziko ya Pasaka?
Nimekaa nikawaza walimu wana shida gani mbona matukio mengi ya ajabu ajabu ni wao tu?
Mara wamebaka,mara wamepiga mwanafunzi hadi kifo mara wamefumaniana nk.

Kwa nia njema nawaomba walimu wote mfanye kikao cha dharura mjikague na kujitathmini mna tatizo gani bila kufanya hivyo hata stahiki zenu kama mishahara nk itakuwa ndoto kuongezeka.
Humu ndani mlimsema sana Mpwayungu village ila ni kweli walimu wengi wana shida za kuzaliwa.
Pasaka njema walimu na wasio walimu.
IMG_20230408_120205.jpg
 
Nimetaja ukristo we mpumbavu !! kwani we ndo upinde kama unajishuku basi sawa we ndo upinde .

usipende kukurupuka utakuja kupigwa makofi.
We mama usilete mikwara mbuzi hapa. Kwahiyo we kwenye comment yangu umeona nimesema umetaja Ukristo hadi uulize "Nimetaja Ukristo...". Kusoma hamjui halafu kutwa mnalalama mnabaguliwa. Kenge wa pink we!
 
unajua wapi kusoma wewe mshamba usingedandia comment ya mwanaume..Kaa pembeni uache shobo !

kuandika hujui kelele nyingi sisi ni automatically educated sio kukariri kijana hata kuoga tumewafundisha bado tunawaongoza kaaa kwa kutulia.

Hamtokuja kuwa juu yetu mpaka unakufa.
 
Asiyejua kuandika mimi na wewe ni nani? Hebu angalia tena kama umezingatia kanuni za uandishi. Unaanza sentesi kwa herufi ndogo? Kilaza kabisa.
 
Huko Geita si ndio hukohuko alikozaliwa yule haramia aliyeiingiza nchi kwenye hofu kuu au nimekosea?
 
Asiyejua kuandika mimi na wewe ni nani? Hebu angalia tena kama umezingatia kanuni za uandishi. Unaanza sentesi kwa herufi ndogo? Kilaza kabisa.
Sisi ndo tumewafundisha nyie kuandika kamuulize babu yako we mtu kutoka porini na kuandika wapi na wapi?

Hujiamini mi naandika free kabisa maana ndo mjuzi wa lugha we mpaka usome..

Uliza watu nan smart? umekurupuka umeingia level sio zako .

siku nyingine usiqoute comments za wanaume utakuja kuumia!
 
We Shangazi,sijui Auntie Accumen Mo unaijua Historia kweli? Babu zako wanaoandika kutoka kulia kwenda kushoto walitufundisha sisi? Halafu mpuuzi unajifanya descendant wa Kiarabu kumbe Mwanaizaya fulani tu kutoka kijiji cha Wagagagigikoko.

Kwanza hata hujui kuwa Mwarabu anaandika kutoka right kwenda left, ilhali sisi tunaandika kutoka left kwenda right. Na hata hapo unapoandika unafata uandishi wetu (kushoto kwenda kulia) pamoja na kujitutumua kote.
 
We Shangazi,sijui Auntie Accumen Mo unaijua Historia kweli? Babu zako wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto walitufundisha sisi? Mpumbavu hata hujui kuwa Mwarabu anaandika kutoka right kwenda left, ilhali sisi tunaandika kutoka left kwenda right. Na hata hapo unapoandika unafata uandishi wetu (kushoto kwenda kulia) pamoja na kujitutumua kote.
Mshamba mkubwa mmekuja hata kuoga hamjui ,kupika ndo msiseme kabisa kwanza pambaneni na udumavu.

kijana tafuta elimu sio uwizi wa mitahani ndo maana unaandika utumbo.

Wakati wazee wetu wanapambania uhuru nyie mlikuwa bado mko vichakani mnaishi na tumbiri...Mmeanza kujua kuoga mwaka 90's leo mnaleta ujuaji pumbavu!

Mpaka watu wanaandika vitabu nyie bado mnakunywa maji kweny madimbwi yenye vyura mpaka mnaharibika meno.
 
1.Nimegundua nabishana na mdada, kama siyo shoga huyu. Mwanaume gani anajisifia kuoga na kupika? Hili li Accumen Mo kumbe ni bwabwa! Sisi wanaume huwa hatujisifii mambo ya kike kama hayo.

2.Kama mlipigania uhuru na baadae kuzidiwa kete, nyie si ndo washamba? Mtu katoka Butiama Kijijini huko, mkashoboka na elimu yake, akawaburuza na kuwasahau kwenye Historia ya Uhuru. Hapo si mjilaumu kwa ujinga wenu? Akakavuta kale ka 'kisiwa' na kukafanya koloni la Tanganyika leo kudhihirisha kuwa nyie ni vilaza.
 
Kete ipi angalia viongozi 😂😂😂.

Angalia watu maarufu ...Hata usome milele still ni kibonde kwetu .

Leo unaongozwa na nan unabwabwanya ,Angalia baraza la mawaziri kuna hata mmoja kutoka kwenu ?

kaa kwa kutulia we are rulling you idiots as historical regime ...Milele mtaongozwa na watu pwani na lazima mkoa mkuu wa pwani Dar ndo mkubwa.

Bila ya sisi wewe unafikria ungejua kiswahili, si mngekuwa na utapiamlo mikoa yenu yote mnalima ila hamjui kutumia chakula.

punguza panic napiga kweny mshono...
 
😆😆😂 Hapa ndo nimezidi kuelewa kuwa nabishana na kichaa kutoka Mirembe, eti "angalia Baraza la mawaziri kuna hata mmoja kutoka kwenu". Uko sahihi Sheikh, maana hata Dr.Philipo Mpango, Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba, Jennister Mhagama, Angela Kairuki,n.k wote wanatoka kwenu.
 
wote wanatokea mkoa wako ?

Mbona unapuyanga kwanza taja kwenu kweny udumavu ...Dogo tafuta elimu sana sio mnakuja kulialia humu watu wa pwani wanapendelewa.

Bado sana uwezo wako dogo kasome sio kuibia mitihani ..
 
Back
Top Bottom