Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

Sasa mbona wengi wa upinde ni wa upande huo
Upinde upo kwa wazungu endelea kupiga domo.
20230407_135436.jpg
 
"Kataa ualimu, ualimu ni kazi ya laana, ualimu ni utumwa. Wafukue vizuri hapo ndani huyo mwalimu atakua ameua kweli kwa sababu hawa watu wa stress sana maisha yamewapiga" in mpwayungu's voice
 
Nitamuachisha ualimu to yeye wangu, wasije wakamuua bure
 
Kilindi Tanga Kuna muislamu kaua muislamu wenzie walikuwa wanagombania kupika msosi wa mchana ili kuposa swaumu!?hii ni juzi !!chezea njaa wewe
😂😂😂Laana ile kufanya udhalimu wa kufungua kwa siri ona sasa mauti yamewafika.



Njaa iko wapi mbona safi tu bado mtoto ngoja ukue ndo utajua.
 
Alhamdulliah sio Muislamu maana vijana wa upinde wangeanza kuja juu.
Ndugu hili unalojaribu kulileta hapa na Ramadhani yako ni uzushi! Mara ngapi hapa zimeletwa taarifa za mauaji, na hakuna dini iliyohusishwa, zaidi ni kabila?
 
Alhamdulliah sio Muislamu maana vijana wa upinde wangeanza kuja juu.
Kweli kabisa lakini sisi kama waisilamu tunasema tabia ya mtu aiwakilishi dini yake kabila lake jinsia yake,lakini waabudu msalaba wako kinyume chatu
 
Huo Mkoa una ukatili kushinda yote Tanzania



Huenda pia ni kwa sababu wako active katika kutoa taarifa za matukio ukilinganisha Na mikoa mingine!

Kwa hiyo hatuwezi kusema kuwa mikoa mingine hainaga matukio kama hayo isipokuwa mfumo wa utolewaji taarifa unakuwa sio active kama Geita.
 
Back
Top Bottom