Ban Yisrael
Member
- Oct 3, 2020
- 59
- 78
Inauma sana.huwaoni watu kama Johnthebaptist wakikemea.namshauri abadili jina kwani mwenye jinalake angetetea haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then polisi wakae kimya kweliwanajiponda wenyewe ili wasingizie serikali, kule Hai walienda na marungu na mipini walikodi wahuni kutoka rombo
Huyu kabakiwa na wiki 2 tuivi hii ni amani wanayoihubiri au kuna nyingine mzee magu acha ushamba
Hata kukemea kwa ukali inasaidia. Kuna kupendeleaNi kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Una haraka mno kusema hivo. Hebu fikiri kidogowanajiponda wenyewe ili wasingizie serikali, kule Hai walienda na marungu na mipini walikodi wahuni kutoka rombo
Na huu ni wakati wa kutumia busara nyingi kwa ukaliCCM wamezidiwa hadi uvunguni kwao sana. CDM tusonge mbele usindi unakaribia.
sipatii picha siku anakabidhi ...hujafa hujaumbikaHuyu kabakiwa na wiki 2 tu
Polisi shughulikia hao haraka! Walianza kuchoma ofisi zao arusha sasa wapo chatoSalaam Wakuu,
Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.
Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.
"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai Chato. Nyumba yachomwa Moto [emoji91], Bajaji zachomwa Moto Katika Wilaya ya Chato.
Walio tuvamia Wana sema eti tumemleta Tundu Lissu Chato. CCM wameandaa magaiti Wana piga watu Usiku huu.
Usiku huu wa Saa 12:25 Ndo tumevamiwa ni hatari, watoto wetu wamenusulika kwa mgombea Ubunge Wilaya ya Chato leo hii Ucku Huu
Mimi Kamanda Husna Amri Said"
Ninalaani watu wote wanaopanga kuharibu amani ya Nchi kisa Siasa.
Mia
View attachment 1598339View attachment 1598340
wafanye nini wakati hawajaongezwa mshaharaThen polisi wakae kimya kweli
Hivi mnafikiri kuna wajinga wa kuwadanganya tena humu ?Polisi shughulikia hao haraka! Walianza kuchoma ofisi zao arusha sasa wapo chato
These green devils need to be paid in kind!Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.
Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.
"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai Chato. Nyumba yachomwa Moto [emoji91], Bajaji zachomwa Moto Katika Wilaya ya Chato.
Walio tuvamia Wana sema eti tumemleta Tundu Lissu Chato. CCM wameandaa magaiti Wana piga watu Usiku huu.
Usiku huu wa Saa 12:25 Ndo tumevamiwa ni hatari, watoto wetu wamenusulika kwa mgombea Ubunge Wilaya ya Chato leo hii Ucku Huu
Mimi Kamanda Husna Amri Said"
Ninalaani watu wote wanaopanga kuharibu amani ya Nchi kisa Siasa.
Mia
View attachment 1598339View attachment 1598340
Ajabu bado wanampigania mtu atakaewaumiza tena si kulogwa hukuwafanye nini wakati hawajaongezwa mshahara
Serikali wajibu wake wa kwanza ni kumlinda raia na mali zake bila kujali udogo au ukubwa wa raia.Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Kivipi mkuu Lisu ndiye amevamia watu usiku huko Chato?Hili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Uadui wafanyiwe upinzani tu? Tena wakati wa kampeni? Mbona upande wa pili ukifanyiwa hivyo hatua za haraka zinachukuliwa? Au nao hawana maadui?Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
.Polisi CCM