Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

Hata wakoloni hawakuwaua wapigania uhuru. Ilikuwa ni hoja kwa hoja. Magufuli anapendwa sasa wasiwasi wake nini?

Mara risasi, mara mabomu ya machozi mara kutekana na kusingiziana kesi.

Magufuli umeambiwa na Bashiru na Polepole kuwa unakubalika kwa hiyo tulia subiri ushindi ACHA KUUMIZA WATANZANIA WENZIO KISA SIASA.
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Hata kukemea kwa ukali inasaidia. Kuna kupendelea

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.

Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.

"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai Chato. Nyumba yachomwa Moto [emoji91], Bajaji zachomwa Moto Katika Wilaya ya Chato.

Walio tuvamia Wana sema eti tumemleta Tundu Lissu Chato. CCM wameandaa magaiti Wana piga watu Usiku huu.

Usiku huu wa Saa 12:25 Ndo tumevamiwa ni hatari, watoto wetu wamenusulika kwa mgombea Ubunge Wilaya ya Chato leo hii Ucku Huu

Mimi Kamanda Husna Amri Said"

Ninalaani watu wote wanaopanga kuharibu amani ya Nchi kisa Siasa.

Mia
View attachment 1598339View attachment 1598340
Polisi shughulikia hao haraka! Walianza kuchoma ofisi zao arusha sasa wapo chato
 
Salaam Wakuu,

Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.

Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.

"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai Chato. Nyumba yachomwa Moto [emoji91], Bajaji zachomwa Moto Katika Wilaya ya Chato.

Walio tuvamia Wana sema eti tumemleta Tundu Lissu Chato. CCM wameandaa magaiti Wana piga watu Usiku huu.

Usiku huu wa Saa 12:25 Ndo tumevamiwa ni hatari, watoto wetu wamenusulika kwa mgombea Ubunge Wilaya ya Chato leo hii Ucku Huu

Mimi Kamanda Husna Amri Said"

Ninalaani watu wote wanaopanga kuharibu amani ya Nchi kisa Siasa.

Mia
View attachment 1598339View attachment 1598340
These green devils need to be paid in kind!
Hakuna haja ya kuendelea kuvumilia huu ushenzi! Hawa watu wanafanya uhuni wajibiwe kihuni!
Natamani sana kumiliki silaha kinyume cha sheria niwatie adabu hawa wajinga wanaojikuta wana hatimiliki ya nchi hii
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Serikali wajibu wake wa kwanza ni kumlinda raia na mali zake bila kujali udogo au ukubwa wa raia.
The Government must be tasked to these dreadful acts.
 
Hili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Kivipi mkuu Lisu ndiye amevamia watu usiku huko Chato?
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Uadui wafanyiwe upinzani tu? Tena wakati wa kampeni? Mbona upande wa pili ukifanyiwa hivyo hatua za haraka zinachukuliwa? Au nao hawana maadui?
 
Polisi CCM
.
Dpmw-LYXUAAsrws.jpg
 
Ila tusisahau, bwana mmoja alikunywa Konyagi, katika kupanda ngazi za mlangoni akaanguka na kuvunjika mguu.

Baada ya kuhojiwa, alijibu ajali ile ili sababiswa na vijana alie waita ni CCM.

Kuna chama viongozi wake si wasema kweli.
 
Back
Top Bottom