Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

Hapo utamsikia na kumuona yuleee akiziba masikio
 
Hapa ndio tunahitaji kuona kazi ya jeshi la polisi, ulinzi wa raia na mali zao.
Nataraji kuona katika mazingira haya wanatekeleza wajibu wao kwa weledi zaidi kuliko kipindi chochote na kuacha kufanya maigizo kwa maelekezo ya mwana siasa yeyote.
 
UVCCM wameapa tangu juzi watafanya fujo Lissu akija chato sasa ni jino kwa jino hakuna kurudi nyuma.
Tatizo ni Magufuli anaye watuma...
Magufuli ni dikteta zaidi ya Madikteta
Magufuli ni muovu kuliko uovu wenyewe....

Nchi inatumbukia kwenye umwagikaji damu sababu ya Magufuli...
Yapo mambo anafanya hata shetani hakuwahi yafanya....
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Mkuu hebu niambie mwenendo wa matukio haya upoje,
1) urushwaji wa bomu pale Arusha soweto. Watu walikufa.
2)mwana chadema aliyeuliwa kwa kuchinjwa Arumeru? (Inadaiwa alikatwa na msumeno)
3) kwenye uchaguzi wa marudio pale igunga, mwana chadema alinyongwa na kutupwa kichakani
4) mawazo kule geita aliuawa
4) pale Dodoma Lissu akapigwa risasi nyingi sana.
5)...
6)....
7).....
 
CCM umepoteza fikra na muelekeo sasa imebakia kufanya uhuni tu
 
Hili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Sasa umeongea upuzi gani? Hakuna mabadiliko bila sacrifice, Hata Mungu alimsacrifice Yesu
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Ni kwanini yakitokea hamuchunguzi wala kuchukua hatua? Hizo hela tunazowapa kufanyia kazi kama hii mnatumiaje? Kama mna chagua matukio ya kushughulikia basi mnahusika na yale ambayo hamushughulikii.
 
subiria sisi tupokee gawio nyinyi chomeaneni nyumba zenu kupata agenda. Tutawashughulikia tr 28.
Hizi gawio za kwenye maandishi zishastukiwa kitambo sana , ndio maana Mwanyika ni mgombea ubunge wa Njombe Mjini , wewe endelea kutumikishwa tu
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Simply means Hujielewi
 
Back
Top Bottom