Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataraji kuona katika mazingira haya wanatekeleza wajibu wao kwa weledi zaidi kuliko kipindi chochote na kuacha kufanya maigizo kwa maelekezo ya mwana siasa yeyote.Hapa ndio tunahitaji kuona kazi ya jeshi la polisi, ulinzi wa raia na mali zao.
Tatizo ni Magufuli anaye watuma...UVCCM wameapa tangu juzi watafanya fujo Lissu akija chato sasa ni jino kwa jino hakuna kurudi nyuma.
Mkuu hebu niambie mwenendo wa matukio haya upoje,Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Kila kitu Serikali. Washabiki wenu watawatoa macho safari hii kazi mnayo.Hii ni serikali ya kishamba kuwahi kutokea!
Mkuu io clip hadi machozi yananilenga.Roho inaniuma kushuhudia ujinga kama huu, alafu jeshi letu lipo busy kuwalinda wanachama wa CCM pekee. Kiukweli ndani yangu ninachuki kubwa dhidi ya askali wetu wasiwojielewa.View attachment 1598354
Baadaye utasikia Sirro akisema tunatuma timu ya wataalam 😆😆😆
MAELEKEZO wanayopewa ni kuwakamata na kutangaza sana kuwa ni watu wa CHADEMA.Hapa ndio tunahitaji kuona kazi ya jeshi la polisi, ulinzi wa raia na mali zao.
Sasa umeongea upuzi gani? Hakuna mabadiliko bila sacrifice, Hata Mungu alimsacrifice YesuHili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Ni kwanini yakitokea hamuchunguzi wala kuchukua hatua? Hizo hela tunazowapa kufanyia kazi kama hii mnatumiaje? Kama mna chagua matukio ya kushughulikia basi mnahusika na yale ambayo hamushughulikii.Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
mkuu umeishia darasa la ngapi ?Imechomwa na CDM ili wapate agenda ya mkutano wa leo
subiria sisi tupokee gawio nyinyi chomeaneni nyumba zenu kupata agenda. Tutawashughulikia tr 28.mkuu umeishia darasa la ngapi ?
Hizi gawio za kwenye maandishi zishastukiwa kitambo sana , ndio maana Mwanyika ni mgombea ubunge wa Njombe Mjini , wewe endelea kutumikishwa tusubiria sisi tupokee gawio nyinyi chomeaneni nyumba zenu kupata agenda. Tutawashughulikia tr 28.
Simply means HujielewiNi kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Polisi tanzania itawakamata wafuasi wa chadema wakidai wachoma wenyewe ili kuilamu ccmHapa ndio tunahitaji kuona kazi ya jeshi la polisi, ulinzi wa raia na mali zao.
Tungepata wapinzani wa vyama5 tu, kama Lissu, nchi ingekombolewaHili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
hivi ni guys au guy hahahahahahaTungepata wapinzani wa vyama5 tu, kama Lissu, nchi ingekombolewa