Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Toa 1800 upatiwe ng'ombe 2 na kilo 500 za mchele mjini shuleHizi fomu zipo ngapi maana Kila siku nakutana na Uzi watu wamechanga
Afu ccm si walishapitisha wagombea? Au mimi Kuna kitu sielewi hapa
Waafrica ni Wajinga sana! Trump yuko sahihi.Trump tuko sahihi kabisa
Ova
disgusting/terribly nauseating😵CCM ndiyo kinga yao, wamejificha kwenye dini lakini ni matapeli haswa
Dogo futa kauli yako, au tukuombee Fatwa.Ni wauza sembe lazima wajifiche kwenye CCM vinginevyo watakamatwa
Ni majangili kama majangili menginedisgusting/terribly nauseating😵
OmbeaDogo futa kauli yako, au tukuombee Fatwa.
Ujinga ni laana1. Ujinga
2. Ujinga
3. Ujinga
CCM ndiyo kinga yao, wamejificha kwenye dini lakini ni matapeli haswa
Hakuna cha MUNGU ni kuyakataa haya matapeli yamejificha kwenye diniTumuombe Mungu apindue meza
Mwambie anijibu(aseme suu) mwenyewe nifanye jambo sasa hivi. Kama mtasafiri au vipi mtajua wenyeweOmbea
opportunists Kama fungus kwa immunodeficiency victimsNi majangili kama majangili mengine
SawaMwambie anijibu(aseme suu) mwenyewe nifanye jambo sasa hivi. Kama mtasafiri au vipi mtajua wenyewe
KatapikeKichefuchefu
Nchi imejaa matapeli tupu sababu ya mifumo mibovuopportunists Kama fungus kwa immunodeficiency victims
Wajinga na ujinga ndiyo mtaji wa tapeli. Unachanga pesa huku una maisha magumu. 1.4m kulipa jitu ambalo limekuibia kwa kufuru. Limepitishwa na wapuuzi wewe unakuja kulichangia tena. Mimi nikikutana na Hawa waliochanga nafyeka viboko wote na kuwatia ndaniWakuu,
Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg.
Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mchango hao ambao wananchi pia walishiriki umefanikisha kupatikana kiasi cha Tsh. milioni 1.4 kwa ajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni serikali ya Tanzania ilithibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Murburg wilayani Biharamulo mkoani Kagera ambapo ni jirani na Chato Na mgonjwa mmoja kuthibitika kufa.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ht Trump alikuwa anachangiwa tena na watu wenye akili km Elon, wamarekani ni adui yupi anawaandama? We ndio jinga lisiloelimikaNyerere aliwahi kusema maadui wakubwa wa 3 wa taifa hili ni
1.Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
Na bado mpaka Leo hii Hawa maadui wa 3 bado hatujaweza kuwatokomeza
Wamekutapeli nn, we bwege kafanye mambo yako achana na yasiyokuhusu.Nchi imejaa matapeli tupu sababu ya mifumo mibovu