Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Toa 1800 upatiwe ng'ombe 2 na kilo 500 za mchele mjini shuleHizi fomu zipo ngapi maana Kila siku nakutana na Uzi watu wamechanga
Afu ccm si walishapitisha wagombea? Au mimi Kuna kitu sielewi hapa