GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

Uko sawa mkuu hapa Sina mhemuko wowote ila taarifa Ina maswali mengi zaidi

Kwa uchache tu

Tunaamini mnada mzima ni wanaume 2 pekee ndo walikuwa na Watoto?

Je baada ya kuhisiwa walijibuje?
Kwenye issue kama hiyo lazima kabisa walihojiwa kwanza kabla ya yte na wakajibu jeuri basi raia wakaona Hawa ndo wale wale..

Bahati nzuri mkuu mi nipo jirani tu na maeneo hayo nimeongea na watu wapo hapo kwenye tukio

Soma comment no225
 
Tulia wewe hii inawahusu wanajielwa tu. Unapo pambania haki Yako haijarishi utapitia kadhia Gani kikubwa kieleweke hata wanajeshi wetu walikufa kwenye vita ya Uganda.

Kufa kupo pale pale hata usipouliwa na police utakufa tu.

Pole sana
 
Tunaamini mnada mzima ni wanaume 2 pekee ndo walikuwa na Watoto?
Kwanini uamini kua mnada mzima wanaume 2 pekee walikua na watoto?

Kwani ilitakiwa wanaume wangapi wawe na watoto hapo mnadani ili wewe uone kua ni sawa? Siku hizi wanaume kubeba watoto ni kosa?

Wenye watoto wao wameshathibitisha kua hao watoto ni wao,sasa wewe kwanini unaendeleza huo wasiwasi wako wa kuamini?
 
Damu za watu zipi wakati upumbavu wao umepelekea vijana kufa! Yani Mimi nibebe mtoto wangu unisuspect na utake kuniua, kwanini usinihoji kwanza!? Haya wamevamia kituo na watu wamekufa what's next?
Kumshuku mtu sio mbaya, kuwahoji sio mbaya, hata kufatilia muendelezo watuhumia na kesi imefikia wap sio mbaya pia. Tatizo linaanza, kwanini walitaka kuwadhuru watuhumia na jeshi la police ?.
 
Kumshuku mtu sio mbaya, kuwahoji sio mbaya, hata kufatilia muendelezo watuhumia na kesi imefikia wap sio mbaya pia. Tatizo linaanza, kwanini walitaka kuwadhuru watuhumia na jeshi la police ?.
Kuna manipulation ya wanakijiji lazima Kuna kitu behind the scenes ambacho kiliwasukuma wanakijiji kuvamia kituo Cha POLISI
 
Watanzania wanahitaji elimu kubwa sana juu ya haya masuala ya kujichukulia sheria mkononi, Polisi wanapaswa kufanya kazi yao ipasavyo.
 
Uongooooo propaganda za ccm ili kuwaogopesha wananchi uongoooooooooo😂😂😂😂 janja ya nyani kwisha jua mimi
 
Kwanini washambuliwe wao wawili tu kwenye mnada mzima?

Yaani hujajibu swali langu hata Moja hayo maswayndo unatakiwa ujiulize wewe
 
Kamwe huwezi pigwa tu kisa una mtoto. Hapo Kuna maswali sana
Maswali wapi wewe, au hujawahi kuona mambo ya namna hiyo mitaani??
Unaishi ushuani sana mjomba??

Maisha ya watu wa kipato cha kati na chini ndiyo hayo, hawanaga uhakika na habari zao. Wanaamini sana kile anasimuliwa bila hata uthibitisho na anaweza kua shahidi na kusimama kidete kwa jambo asilo na hakika nalo..

Unadhani hao watu 800+ wote wanamjua huyo mtoto??
 
Dah ...!??Inaoneka ma home boys wamechoka sana mdogo mdogo tu tutaelewana na viongozi masnich kanda ya ziwa haiwafai sisi huku tunataka watu kazi sio wanafiki.Ukileta zako tunazingua.
 
Kwanini washambuliwe wao wawili tu kwenye mnada mzima?

Yaani hujajibu swali langu hata Moja hayo maswayndo unatakiwa ujiulize wewe
Ilitakiwa washambuliwe wangapi kwenye mnada ili wewe ndio uone sawa? We jamaa kumbe una kichwa kigumu kiasi hicho!

Wenye watoto wao wameshatoa maelezo tayari ila wewe bado umekomaa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…