Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Mimi ni Gemini tena nawafungia dimba, 20/06. Nina tabia nyingi za Gemini, kasoro hiyo ya ujivuni, nafikiri kumjua Mungu mapema, kujali wengine na jinsi nilivyolelewa vimenisaidia kuepuka hilo.

Japo kwa bahati mbaya, mtu akiniona kwa mara ya kwanza, anasema ninaringa, najisikia sana. Akinizoea ananiambia mwenyewe, nilikuona uko hivi, kumbe hauko hivyo. Una muonekano tofauti na matendo yako. Hata tulioonana tokea humu JF watakuwa mashahidi kwa hili.
 
Kuna hii Rising sign ni kama mask ambayo mtu huvaa kuficha halisi wake, mara nyingi rising sign represents your outer personality what the world first sees in you.
 
Pattern gani? Weka evidence hapa.
Evidence ya behaviors? You must be joking anyway, soma post #26 among few! Kama hutaki wewe tu, wengine wote wanaprove kwamba wanabehave namna hiyo!
 
Evidence ya behaviors? You must be joking anyway, soma post #26 among few! Kama hutaki wewe tu, wengine wote wanaprove kwamba wanabehave namna hiyo!
Weka evidence kwamba uvutano wa dunia na mwezi unasababisha menstrual cycle.

Unafuatilia mazungumzo au unadandia treni kwa mbele tu?
 
kwa ku google tu umekuja na conclusion wewe gemin. haya mambo ya nyota nyota bas tu tuwalaumu walioleta. unapata shida sana unajiona na unajisifia kujificha kwenye kivul cha kujita gemini. nikuulize hivi umeshaweza kuyaelewa mambo ya elimu hio unayozungumzia? umesha cover vitabu vingap ukajua hasa kwneye makororko ya astrology hizo unazoita nyota zipo vip? muda na siku uliyozaliwa umevijua? umeshasoma kitabu kinaitwa kitaab bahga al taarif fii ilm al huruf. ? impact ya heruf.na majina.
rekebishq tabia yako ujivuni alikua nao firauni na kakaa miaka 300 hana hata mafua .
 
Knowledge ni nini? Unajuaje hii ni knowledge na hii ni kabobo ya mumbo jumbo tu?
Knowledge ni familiarity or undestanding gained through experience/education.

Science ni sehem tu ya elim, hivo haiwezi kuthibitisha kila knowlege.
 
Knowledge ni familiarity or undestanding gained through experience/education.

Science ni sehem tu ya elim, hivo haiwezi kuthibitisha kila knowlege.
Utajuaje hii ni knowledge na hii ni illussion ya knowledge lakini si knowledge?
 
Sijui kuhusu nyota ila mimi nahisi nna shida ambayo inafanana kidogo na hii...naweza jua kabisa nna makosa ila siwezi kukiri mbele za watu.Ni bora nisimame mwenyewe nikiwa sipo sahihi kuliko kukubali hayo.
Huu ndiyo uchawi Sasa ukisikia wanaita mchawi itika beee
 
Utajuaje hii ni knowledge na hii ni illussion ya knowledge lakini si knowledge?
Kujua knowlegde fulani ni illussion/fact, ni lazima uifanyie analysis knowldge husika, na si kutumia knowldge nyingine kuithibitisha.

Huwezi tumia grammar(language knowldge) kuthibitisha uwepo energy(science knowldge), hiki ndo ulikua unakifanya huko juu.
 
Challenging Attributes of a Gemini
One of the reasons Geminis have difficulty making decisions is because they are overthinkers. They can be indecisive and unreliable, and it can be hard for a Gemini to commit to things. Agreeing to do something in the moment often feels right, but later (when something more exciting happens), a Gemini’s attention shifts and wanders.

Sometimes Geminis receive a bad reputation for hurting others. When they are feeling depressed or sad, lashing out at others verbally becomes a pattern of theirs. The comments they make can become sarcastic, cutting, and condescending. The person on the other end will either verbally strike back to defend themselves or be so dumbfounded that they retreat. Those who are tolerant will realize this behavior happens when Geminis are in a bad moodβ€”and their mood fluctuates often.
 
🀣🀣🀣🀣Huyo ni Mimi kabisa yani.

S/he is a real Gemini
Ila she is so lovely, napigwa mabusu muda wote.....halafu very smart, yani msafi hasa na mtulivu.
 
Umesahau kumweka hapo Pdidy mkuu
 
Haha tatizo ni sista duu sana, mtu akikuangalia anakaa mita 18

Na kama huna shobo

Hapa waswahili lazima tuseme wewe ni mjivuni.
 
Haha tatizo ni sista duu sana, mtu akikuangalia anakaa mita 18

Na kama huna shobo

Hapa waswahili lazima tuseme wewe ni mjivuni.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… binadamu hata uweje, lazima wakupe sifa isiyo yako kwanza. Baadaye ndiyo wanajua walikosea. Umemisika sana sana wewena mzew wa Hall V.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… binadamu hata uweje, lazima wakupe sifa isiyo yako kwanza. Baadaye ndiyo wanajua walikosea. Umemisika sana sana wewena mzew wa Hall V.
Kheri ya mwaka mpya kwanza
Kwako na kwa mzee wa halll v Mr sumbai
Mwaka huu muongezeke maradufu kwenye kila kitu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… binadamu hata uweje, lazima wakupe sifa isiyo yako kwanza. Baadaye ndiyo wanajua walikosea. Umemisika sana sana wewena mzew wa Hall V.
Thanks BL

πŸ’šπŸ’›
Happy new yeaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…