Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mimi ni Gemini tena nawafungia dimba, 20/06. Nina tabia nyingi za Gemini, kasoro hiyo ya ujivuni, nafikiri kumjua Mungu mapema, kujali wengine na jinsi nilivyolelewa vimenisaidia kuepuka hilo.
Japo kwa bahati mbaya, mtu akiniona kwa mara ya kwanza, anasema ninaringa, najisikia sana. Akinizoea ananiambia mwenyewe, nilikuona uko hivi, kumbe hauko hivyo. Una muonekano tofauti na matendo yako. Hata tulioonana tokea humu JF watakuwa mashahidi kwa hili.