Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Okay let me read this work but msome pia Ptolemy kwenye kitabu chake Tetrabiblos uone mawazo Yake kuhusu astrology ni kitu gani.

Ptolemy ndio baba wa Astrology na Tetrabiblos ndio kitabu cha kwanza cha Astrology.

Believe or not Astrology is very real.

Msingi wa Astrology ni kwamba celestial body movements affect the earth and everything in it including us and our environment
 
Seriously, unamtaja Ptolemy hivyo leo mkuu?

Ptolemy kaoneshwa kuwa dunia yake ni ya uongo tangu enzi za Copernicus na Galileo.

Yani ni kama uko nyuma miaka 500 iliyopita na hujasikia mazungumzo ya scientific revolution yote yaliyokuja siku za kina Galileo, Copernicus, Tycho Brahe etc.

Ptolemy alikuwa anaongelea geocentric universe, dunia ambayo jua na kila kitu vinazunguka dunia.

Copernicus, Galileo, Tycho Brahe na wengine wametuonesha kuwa dunia inazunguka jua takriban miaka 500 iliyopita. Inaonekana umekosa kujua hizi habari za miaka 500 iliyopita.

Hujasoma kitabu cha Galileo "Dialogue Concerning the Two Chief World Systems" ?

Hujasoma historia ya sayansi ya takriban miaka 500 iliyopita?

 

Upo sahihi kabisa mkuu kwenye kitabu chake ALMAGEST , Ptolemy alicommit some errors kuhusu the earth circumference lakini hiyo pekee haimdiscredit Ptolemy Kwa sababu hata Einstein amewahi kufanya errors.

Error aliyo fanya Ptolemy kwenye ALMAGEST was about ASTRONOMY na TETRABIBLOS was about ASTROLOGY.

Astronomy and Astrology are two different subjects although they are related.

Error aliyoifanya Ptolemy kwenye Astronomy ilikuwa ndogo Sana ambayo hata hivyo IPO justified na nyakati alizoishi ambazo watu walifanya scientific researches Kwa kutumia observation.

Na error aliyo ifanya ni ndogo Sana sawa na mtu Kwa kutumia observation apige hesabu na kufikia kwenye conclusion kwamba Dunia inazunguka jua Kwa siku 364 na Sio 365/6.

So Ptolemy usimchukulie poa kaka.


Ptolemy Tetrabiblos was perfect
 

Attachments

  • Screenshot_20250114-154915.png
    196.8 KB · Views: 1
Mpaka sasa, hata baada ya kukupa Wikipedia link, na kukuandikia kwa Kiswahili Ptolemy alifanya makosa gani, bado hujaelewa Ptolemy alifanya makosa gani.
 
Mpaka sasa, hata baada ya kukupa Wikipedia link, na kukuandikia kwa Kiswahili Ptolemy alifanya makosa gani, bado hujaelewa Ptolemy alifanya makosa gani.
Kosa kuu la Ptolemy alilifanya kwenye kitabu chake kiitwacho " ALMAGEST".

Kwenye kitabu hicho Ptolemy kasema Earth Circumference ni Km 28,800 which is 28% less than the actual earth circumference which is 40,070 km.

Alifanya hesabu hii between ( 85 to 100C.E.) na alifanya hesabu hizo Kwa observation tu.



Still bado Ptolemy anahesabika. Hilo kosa alilifanya kwenye Astronomy na Sio Astrology.

Kwenye Astrology bado ana heshima na ndio baba wa Astrology.

Walio mkosoa Ptolemy wamemkosoa kwenye Astronomy na Sio kwenye Astrology.

His book ," Tetrabiblos" which is an Astrology book is one of the best in the subject.
 
Nakwambia hivii.

Hata baada ya kukupa Wikipedia link na kukuandikia Kiswahili kosa kubwa la Ptolemy, bado hujalielewa.

Hujaelewa historia ya mabadiliko ya kisayansi ya miaka 500 iliyopita yalienda vipi.

Astrology is to alchemy what astronomy is to chemistry.

Bado mnatafuta njia ya kutengeneza dhahabu kwa alchemy.

In fact you are worse than alchemist kwa sababu angalau alchemist walifanya experimentation, astology haina experiment. Ni kujazana ujinga tu.
 
Hata mi nimezaliwa trh 31 July,nina tatizo au niseme mkosi wa kupata kazi, Nikipata kazi naishia kufukuzwa , vipi hii ina uhusiano wowote na my birtdate? Msaada tafa
Mtegemee MUNGU daima kwa kumuomba daima na utafanikiwa kabisaa.
 
Alchemy is a code.
 
Hadithi za aflelaulela kalmakenge kakataa kwenda shule
 
Alchemist is a code. Astrology ime evolve kama vile vile ambavyo Biology, Physics, Geography etc zime evolve
 
Kuamini mambo ya nyota sijui mbuzi kondoo , nge huo ni ujuha na uwendawazimu
Nyota ni kitu gani hasa? Kwa nini ziliitwa hayo majina? Nani aliyehusika kuziitia hayo majina? Kuamini kuhusu nyota ni kukosa tu maarifa!!!
 
Alchemy is a code.
Yeah, a code for bullshit.

Alchemy attempted to create gold from lead.

Chemistry showed us why this is impossible a long time ago.

Unfortunately you are more than 500 years behind the modern world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…