Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ni wa kuwahurumiaNyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Safari hii sidhani kama utatoboa kama siku ile au unawadanganya nyumbu. Nashangaa hata hujakamatwa mpaka sasa au umeshakimbia nchi kama Lord Denning ??This time, vijana wote tutafungwa kwa makosa ya ugaidi na tupo tayari kwa hilo.
..nchi ipi ya kujenga?Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Mna waumiza vijana wanakufa uku bado wana ndoto zao hivi mna faidika na nini na vifo vyao?Msikurupuke! Chukueni muda mwingi wa kujipanga.
Hawa ni wanyama sana hawawahurumii vijana walikufa na wengine wamefikishwa mahakamani kwa uhainiNi wa kuwahurumia
CCM ndio wamelaaniwa kwa kua chama cha kigaidi.Mange na Maria wamelaanika. Hawana huruma wala utu.
Hawa ni wanyama sana hawawahurumii vijana walikufa na wengine wamefikishwa mahakamani kwa uhainiNi wa kuwahurumia
Una akili?Mna waumiza vijana wanakufa uku bado wana ndoto zao hivi mna faidika na nini na vifo vyao?
..walioitoa nchi mikononi mwa wageni miaka ya 60 walikutana na watu wa aina yako, wangewasikiliza pengine hata wewe usingekuwepo leo, bora nyamaza kila mtu anabeba jukumu yeye mwenyewe na thawabu inatolewa kwa mtu husika..huu upumbavu uliopo sasa umefikia kikomo..ni aheri gharama nyingine yoyote kuliko gharama ya kuendelea kuachia hawa wapumbavu waendelee kuongoza!Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Wewe unaogopa kufa au unaogopa kuwahi kufa maana kufa tutakufa tu usiogope kufaHivi mna fikiria this time ata waacha tena pale alikuwa hana mamlaka kwasababu alikuwa kama mgombea this time ame apishwa hii haiko sawa kabisa watu bado wana omboleza mnataka kuanzisha mengine sio kweli msiba usikie kwa mwenzio usikukute watoto vijana ndoto zina zimika kabisa mwenye nguvu usishindane nae matamko ya UN mpaka sasa hayana impact yoyote kwa yale yalio tokea how hayo yatakayo tokea? Tutazidi kupoteza vijana wetu zaidi
Yaan kwa kipindi hiki walau wange acha upepo upite watu wasahau ata kidogo mtu umetoka kuzika mwezi ulio pita una kijana mwingine yupo mahabusu una pamban kujua hatima yake tena uje upoteze mwingine sio kweli hii hapana tuwe na huruma na wengi wanao hamasisha mara ya kwanza wamesalimika wameona na safari hii watasalimika sio kweli kabisa mambo hayapo hivyoHawa ni wanyama sana hawawahurumii vijana walikufa na wengine wamefikishwa mahakamani kwa uhaini
Sijakataa ila kwanini msijali hisia za wenzenu walio poteza watu wao wakaribu?Wewe unaogopa kufa au unaogopa kuwahi kufa maana kufa tutakufa tu usiogope kufa
Na vidonda vikizidi kila mtu ataingia barabarani ndo wanatakaMaandamano kama haya yalio pita yana waumiza wengi sana this time wamekufa vijana wengi sambuse hiyo siku tena embu jipangeni tena kwa mda mnataka mtu mmoja azike mara tatu au watu zaidi ya mmoja kwa mwaka? Hii sio sawa kabisa jipange kwa mda mrefu na sio hii ya muda mfupi watu vidonda havija pona ninyi mnawaza tena maandamano mnataka kuzidisha vidonda kuweni na huruma
Wewe usiandamane ila utakufa tu hao wliokufa waliandamana so tulia subilia kufaWatanganyika wajinga wajinga hawajielewi mtu anakuhamasisheni muandamane yeye yupo uko alafu mnachezea risasi za kichwa
Wewe ndio mwenye akili pekeeUna akili?