PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watanganyika wajinga wajinga hawajielewi mtu anakuhamasisheni muandamane yeye yupo uko alafu mnachezea risasi za kichwa
..kwa nini wanasikiliza mtu yuko mbali kuliko wewe unayeishi nao, km jibu unalo..nini kinakusumbua kupanua mdomo..?
 
Na vidonda vikizidi kila mtu ataingia barabarani ndo wanataka
Ase hivi wakati uhuu ushapoteza ata ndugu wa karibu? Au kuna ndugu yako alie kamatwa kupelekwa mahabusu na ameshtakiwa na hana hatia?
 
Ase hivi wakati uhuu ushapoteza ata ndugu wa karibu? Au kuna ndugu yako alie kamatwa kupelekwa mahabusu na ameshtakiwa na hana hatia?
Shangazi yangu ndo kapoteza watoto wawili tabata shule hapo wala hawakua hata kwenye maandamano mmoja alitoka kupiga kura mwingine Buchani acha 😭😭
 
..kwa nini wanasikiliza mtu yuko mbali kuliko wewe unayeishi nao, km jibu unalo..nini kinakusumbua kupanua mdomo..?
Andamaneni tena kumme mara hii tunapiga shaba za mkndu ndio mtatulia mabongolala nyie
 
Shangazi yangu ndo kapoteza watoto wawili tabata shule hapo wala hawakua hata kwenye maandamano mmoja alitoka kupiga kura mwingine Buchani acha 😭😭
Hao hawana hatia kabisa je siku hiyo pia unataka kupotez wengine wasio na hatia? Kwanini usitumie mda uho kumpa faraja zaidi mwenzio kapoteza
 
Nimekuzingua bhana Mwachi!
Nikuulize swali; Njia gani vijana waitumie kurekebisha Tz iwe nchi yenye demokrasia? Najua unafahamu elements za democracy
Sawa ila huu sio wakati sahihi ata arobain za wapendwa wetu itakuwa bado bado watu watakuwa wanaomboleza vifo na wengine bado watakua wana watafuta wapendwa wao je wazidi kupoteza? Hasira hasara jitahidi sana kuto kufanya maamuzi wakati una hasira this time wengi wana hasira na sasa wanaendeshwa na hasira ni mbaya
 
Ingieni tena barabarani vibaka nyie kama hatotukumwageni ubongo tunaleta kikosi kazi chengine kutoka znz kinaitwa mazombi icho kikingia kinasafisha
Wewe usione sifa jenga hoja na sio kusifia ujinga ambao hauna maana wewe una faidika na nini?
 
Ingieni tena barabarani vibaka nyie kama hatotukumwageni ubongo tunaleta kikosi kazi chengine kutoka znz kinaitwa mazombi icho kikingia kinasafisha
Hayo waambie wale unawafuga na kuwafanya waende choo, sio sisi..!
 
Sasa
Sasa nyinyi mbona hamko TZ mnawaacha vijana wasiojua mambo ya dunia wapigwe za kichwa wengine wafungwe?
 
Mauhusiano yetu sio m
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Huyu dada anatakiwa aondoke hapo Kenya na aende nchi za wazungu kama bado yupo hapo.
Kenya sio salama kwake kama anaendelea na hizi pilika.....

Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
zur
Ndio ndio na mda huu si kinyonge tupo you tube uko tunajifunza mambo ya petrol na chupa inakuwaje

Hao hawana hatia kabisa je siku hiyo pia unataka kupotez wengine wasio na hatia? Kwanini usitumie mda uho kumpa faraja zaidi mwenzio kapoteza
Hao Wanaoandamana wanataka nini watawala kwanini wanakua wagumu kuwasikiliza Taifa hili tayari limedumbukia kwenye matatizo tayari Unafikiri waliofiwa hawana vinyongo?
 
Sasa

Sasa nyinyi mbona hamko TZ mnawaacha vijana wasiojua mambo ya dunia wapigwe za kichwa wengine wafungwe?
Kila mmoja anapigania destiny yake na kizazi chake...na huo ubinafsi km wa kwako ndio tunataka kuufuta, binadamu hujaletwa duniani kupigania tumbo lako!
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Hadi sasa tuko pabaya chini ya majizi ya ccm. Tunataka heshima ipatikane hapa nchini. Hakuna makondoo wa kudumu.
 
Mauhusiano yetu sio m




zur



Hao Wanaoandamana wanataka nini watawala kwanini wanakua wagumu kuwasikiliza Taifa hili tayari limedumbukia kwenye matatizo tayari Unafikiri waliofiwa hawana vinyongo?
Atakama wana vinyongo sio wakati huu ulete tena maandamano wakati hata arobain za wapendwa wetu hazijapita

Kwa mantiki hiyo wengi wanaotaka yafanyike tena ni wanafiki now wanajifanya wameumizwa na haya yanayo endelea au yaliyo tokea kumbe sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…