PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
No matter how,mkishindwa kuelewana Huwa Kuna ulazima wa kubomoa ili kuanza kujenga upya,na hicho ndo kinahitajika kwa sasa ili kupambana na mkoloni CCM
Hawa hawasaki Digi Digi porini.
Hii ni picha yangu bora ya mwaka au hata pengine miaka yote.
Msije makasababisha madhara mengine.mapinduzi ni mipango
 

Attachments

  • FB_IMG_1762284881487.jpg
    37.4 KB · Views: 36
Unaumia sana enh watanzania kukichafua siku 6 yaani kama huamini kilichotokea🤣🤣🤣🤣
 
Hawa hawasaki Digi Digi porini.
Hii ni picha yangu bora ya mwaka au hata pengine miaka yote.
Msije makasababisha madhara mengine.mapinduzi ni mipango
Wewe mwenye mpango wa kuishi miaka 1000 kaa ndani utulie,sisi ambao hatujui kipi kitatuua na ni lini tutakufa lazima tutaandamana.

And this time hatuendi armless
 
Hii kitu hutengeneza uraibu,hapo watu wanategemea kuhemea mahitaji ya mwisho wa mwaka kwa kupora!!😁

Unaona wakenya walikuwa tayari kuchoma wese hadi Sirari ili washiriki sebene!!
 
Duuh na inaanzaga hivi hivi.
Kwa sasa watanzania ni kama wamejisusa just imagine POLISI & TCRA kila mara kutuma msg za vitisho mara hatua kali zitachukuliwa. Ila hicho wanachokataza ndio kinafanyika zaidi. Tesha alishauri kitu kwamba vitisho vya kisaikolojia havina tija kwa sasa
 
Kama mna bunduki tokeni.ila kama mna mapanga mtaishia kuuana raia Kwa raia.dunia ya Sasa SI kupigana Kwa mapanga vs bunduki ndo Yale yale ya kinjekitile.usifanye mchezo na Chuma .kabla haujanyanyua panga tayari ushakufa
Itafahamika siku hiyo kaa kwa kutulia uzuri nyumba na familia zao zinajulikana.

Anaenda kuua watoto wetu barabarani akirudi nyumbani anapokelewa mlangoni na maiti za mke na watoto zake au mama na baba yake.
 
Qmmmmq ACHA kiwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…