januarystephano
Member
- Jul 16, 2025
- 43
- 25
Hizo ni chuki zidi ya polisi hapo polisi wanakosa gani wao kazi yao kuzuia uharibufu usitokee nyinyi hamtaki ety kwa Nini polisi wanatuzuia sisi kufanya uharibufu tumia akili bro ipo siku na wewe utapotezaYaani nihivii hao police nilazima tupite nao , itakuwa ni dharau sisi kuwa under pressure na kunguru hawa ambao wengi wao tunawahifadhi kwenye nyumba zetu leo eti ndiyo watubwekee, No ,haitakaa itokee
Ni kazi yao na wanalipwa kwa ajili hio, sio kuuwa innocent young men. Usiwe mjingaSiku ukipata shida mtoto wako au mkeo au ndugu yako kubakwa au kuuliwa utasema naenda polisi kushitaki Leo unasema tuwauwe na siku ukivamiwa nyumbani kwako na majambazi au vibaka mbio polisi kutoa taarifa duniani kote Kuna polisi na wanaheshimu kazi za polisi
Sana tu unafukuza mwizi kimya kimya kidumu cha petrol na kiberiti mkononiWe nae naona kama uwauzia taarifa kupitiliza,, kumpigia kelele adui kabla hujamgusa ni kumshtua akae vizuri,
Inatakiwa upige yowe ukishakuwa umemmaliza
Muendelezo wa vichekesho vya Africa.Nimeona mange kasema tuandamane Kwa amani hivi kweli polisi watatuachia tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao Ili wao wakose kazi hili jambo halipo ni asilimia 100% polisi watapiga watu risasi tarehe 9 hamnaga amani kwenye kumtoa mtu Africa madarakani tusijidanganye
Yaani nashangaa kabisa eti amani kwenda kumtoa bosi wao ikulu Ili wao wakose kazi hahahaha yaani kabisaa Africa hii 🤣🤣🤣🤣🤣Usiombe amani kwenye vita ndugu utakula shaba,iyo amani sawa ila akipigwa mmoja shaba vita inaendelea
Eti kabisa polisi watuache tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao hahaha hii ni maajabu🤣🤣🤣🤣🤣Muendelezo wa vichekesho vya Africa.
Maandamano ya Amani ni ya kumsifia mkoloni mweusi tu. Yale ya kumpinga yanajulikana kama vurugu,taharuki na adhabu yake ni bunduki na kesi za uhaini😂!
Mbona hasira mzee Mimi nimesema siwezi kuandamana kindezi bila bunduki kiunoni siku hiyo nikikosa bunduki nitalala siamini kwenda mikono mitupu mbele ya askari wa Africa hiiKwan mkuu wewe si umeshasema hauandaman mbona sasa unapga sn kelele khs 9D si ukaushe tu wanaotoka watatoka, maana watu hawakutoka walifuatwa majumban kwao wakauawa kikatili sn wengne walitoa taarifa uhalifu polisi walipofka wakawapga risasa watu 8 wasioandamana labda sku iyo uhamie burundi tu maana utoke ustoke kubak na roho yako ndan ya mwili ni probability.
Naona watu wanavyopeana moyo eti mabango ndio yatafifisha nguvu ya askari 😁! Wale wanafanya kazi kwa amri na sio utashi. Wakiamuriwa wauwe wataua tu bila kujali.Eti kabisa polisi watuache tuandamane Kwa amani mpaka ikulu tukamtoe bosi wao hahaha hii ni maajabu🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua watu wanaleta mzaha na haya majitu eti maandamano ya amani hivi unafikiri tarehe 29 watu walianzaje vurugu si baada ya haya majitu kuua na tarehe 9 ndio itakavyokua we jiulize kanisani tu kwa gwajima watu wanamabango na walikua wanapiga mabomuNaona watu wanavyopeana moyo eti mabango ndio yatafifisha nguvu ya askari 😁!
Mtaachwa msogee tu ila mkifika Fire ndio mwisho atakayesogea DIT tu watashushwa kama mipapai na sahizi wanaweza wakajificha magorofani ili msiwaone live waliowatungua kisha kesi ikaangushwa kwa raia wema walioamua kujilinda dhidi ya uharibifu wa mali zao.
Hao jamaa ndio wataoanzisha vurugu baada ya kurusha mabomu kwa waandamanaji. Kiufupi bila silaha za kujihami hio 9D ni bora ukae zako kwa kutulia tu nyumbani.Unajua watu wanaleta mzaha na haya majitu eti maandamano ya amani hivi unafikiri tarehe 29 watu walianzaje vurugu si baada ya haya majitu kuua na tarehe 9 ndio itakavyokua we jiulize kanisani tu kwa gwajima watu wanamabangobwalikua wanapiga mabomu
Yaani nashangaa kabisa eti amani kwenda kumtoa bosi wao ikulu Ili wao wakose kazi hahahaha yaani kabisaa Africa hii
Unauza hofu ukiwa mtaa Gani,this time jini wenu anakimbia nchiMbona mulishindwa kujilinda wakati watu Mali zao zinaibiwa na maduka yao kuchomwa moto acheni upuuzi kisa wewe hakuna ulichopoteza unashawishi ujinga sawa safari hii lazima na wewe u
Kilichofanyika tarehe 29 mpaka 3 ilikua ni sahihi kabisa zile ndio njia za kumtoa madarakani kiongozi uchwara wa Africa ila walikosa silaha tu wakajikuta wako uwanja wa vita na mawe wenzao wanabunduki vitu viwili tofauti tarehe 9 raia wasifanye masihara wasimsikilize mtu yeyote anaesema wabebe mabango bila silaha mfukoni. Ni hatari sana sababu mnajikuta hamna Cha kujiteteaHao jamaa ndio wataoanzisha vurugu baada ya kurusha mabomu kwa waandamanaji. Kiufupi bila silaha za kujihami hio 9D ni bora ukae zako kwa kutulia tu nyumbani.
Kosa lao ni kupokea Amri ya kishenzi ya kuua raia. Wangewatandika virungu tu ili wasisogelee fremu za watu na wasalie barabarani.Hizo ni chuki zidi ya polisi hapo polisi wanakosa gani wao kazi yao kuzuia uharibufu usitokee nyinyi hamtaki ety kwa Nini polisi wanatuzuia sisi kufanya uharibufu tumia akili bro ipo siku na wewe utapoteza