PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uelekeo au target ni pale chamwino na magogoni

9dec is loading...
 
Natamani mtoa mada achomewe gari na nyumba yake na waandamanaji
 
baada ya samia kutia vyombo vya habari vya ndani mfukoni ikiwemo kuvifungia baadhi yake ikiwemo jamiiforums.

Dunia kupitia satellite inaangalia Tanzania kuelekea #D9 siku ya maandamano makubwa nchi nzima.
 
Najuzwa hapa muitikio ni mkubwa. Watu waenda kushangaza ulimwengu. Najuzwa Mikoa haukoandamana itajibu vilivyo mapigo. Kitovu ni palepale DSM. Mbeya alusha na mwaza. Miye walahi sijui. Najuzwa wenye familia yenye watoto wadogo na wazee mwaambiwa mtafute hifadhi vijijini kabisa maana hakutakuwa na nywinywi wala nywanywa! Miye narudi bongolala ninamtu wangu lazima alipie walahi. Nye Nye Nye. Mayiii! Na bado. Wale askari mwafikiri kuhamisha familia zenyu ndio mtapona. Hamisheni mpaka wazazi na wakwe zenyu. Maana sijui walahi. Na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…