PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
tarwhe 29 hukutoka halafu unadanganya wenzako wakafe
 
Sasa kama haya ndiyo maandamano basi inabidi risasi zitembee tu kwa wahusika.
 
Tumefika Pabaya Sana kama Taifa,Jana kuna mama mmoja alikua anakemea mauaji ya oct.29 anasema kama kumuua wamuue haogopi kufa kwa kutetea Haki!
Inaonesha ni jinsi gani watu wamekata tamaa!
Dec 9. lolote linaweza kutokea kutokana na reaction ya vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Acha majigambo toa location uje kuchanwa marinda uliyokausha na jua.!!
 
Zitawarudia mtanyanganywa na zitawaliza nyie , wahuni wakubwa this time wenda kila mtu atakua anakula rada kwa mwenzie babeki, mmeua sana wahauni nyie
Mkuu una matatizo, mimi nauliza maandamano ya kutaka watu wakimbie familia zao ni maandamano au uhalifu? Be serious dude
 
Mbona kama sio maandamano tena haya sasa kama imefikia hatua ya watu kuambiwa wahamishe familia zao si ujinga.

Bahati mbaya mnaenda kuharibu ambapo mmekua mkikimbilia kutafuta maisha "Dar" kila la kher kwenu.
 
mswalie mtume sheikh usichinje watu
 
Mkuu una matatizo, mimi nauliza maandamano ya kutaka watu wakimbie familia zao ni maandamano au uhalifu? Be serious dude
Vyoyote vile unataka niwe serious , kwa kipi ? Ni kweli nipo na matatizo kwa sasa ,kuondokewa na vijana wangu wawili ambao hata asilimia mia hawakuwa kwenye maandamo sio mchezo mkuu.

Pili ,Iam not Dude as you said, Iam human being,
 
We kwanza si mtz usitupigie kelelee bwege wewe.
 
Curfew itaanza tar 5 December hakutakuwa na internet....safari hii wataanza mapema kutufungia ndani kabla ya tar husika.

Huko mtandao wa X ndiyo habari inajadiliwq

Nakumbuka kwenye history/civics kuna swali lilikuwa ,Changes are inevitable Discuss(20 Marks)

Hawawezi kuzuia mabadiliko ,lazima yatokee ni nature hiyo ,kadri unavyozuia mchanga kwenye kiganja usitoke ndiyo unazidi kutoka mwingi.
 
Kwa anaetaka kifo atapewa kifo katika hilo wala hamna huruma yeye aungane na nyumbu wahalifu wakaharibu mali za watu atakipata hicho kifo vizuri sana tena kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…