PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna familia inayopelekwa kijijini na nimenoa panga langu kwa wiki ya pili mfululizo nasubiri wewe na hao nyumbu wenzako atakaeingia kwenye anga zangu kuleta fujo yoyote ile polisi watakuta nimeshawasaidia kuwatanguliza nyie nyumbu akhera kwa kuwachinja kama kuku
Naona Mavi yashaanza kugonga chupi mkuu,endelea kunoa panga
 
Vyoyote vile unataka niwe serious , kwa kipi ? Ni kweli nipo na matatizo kwa sasa ,kuondokewa na vijana wangu wawili ambao hata asilimia mia hawakuwa kwenye maandamo sio mchezo mkuu.

Pili ,Iam not Dude as you said, Iam human being,
Acha blah blah wewe
 
Ndugu zangu msimwani uyu Ndugu hata kwa aslimia 5 hii wenda ni project

Wengine wanasema aliuliwa mzazi wake , kama ndivyo nampa pole sana,na roho ya mzazi wake upumzishwe pale ina stahili , na kama kweli inauma sana.


Niwatake wadau wa jf na popote pale ,watakuja wengi waliojivika ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu.

Uyu alitubagaza sana watz kama sio jamii ya watanzania , leo ndo uyo anajifanya kuwa karibu wa watanzania ,Mungu wangu wangu ananimbia huyu sio yupo ajae ila sio huyu , maigizo tu ,

Katika nyakati ngumu watakuja wengi , mmoja wao wenda ni huyu, wenda

Anatoa ya asilimia 1 ilnajua moyoni mwake naongea nini kama mtumishi wa Mungu asie na kanisa wala nini
 
Wale wote mliopoteza ndugu na jamaa kutokana na mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi msisahau kulipa kisasi kwa askari polisi au familia zao kama mlivyolia na kuzika ndugu zenu lazima polisi nao walie na kuzika wapendwa wao kisasi ni lazima na hakuna mbadala wa kisasi lazima polisi wauwawe na familia zao.
Gen Z pakuanza napo ni hapa kwa polisi na familia zao, huu ni msumali katika utosi.

1. Itapelekea polisi wengi kuingiwa hofu ya kufanya mauaji tena na kutii amri za kipuuzi.

2. Itafanya mapolice wengi kuresign, hata wale ambao watafikiria kujiunga nao watakosa morale.

Hii kete ya kudeal na familia zao ni nzuri, wamerelax sana hawa wapuuzi.
 
Aisee hali ni mbaya kweli , kuna taarifa zakutusha sana najua hata serikali pengine wanazo , na wajinga wametafutia uchochoro kutokea kisogoni sana.

Naogopa nisije nikachana code ,aisee music unakwenda kuwa mnene nisivyowahi kufikiri .
 
Najuzwa hapa muitikio ni mkubwa. Watu waenda kushangaza ulimwengu. Najuzwa Mikoa haukoandamana itajibu vilivyo mapigo. Kitovu ni palepale DSM. Mbeya alusha na mwaza. Miye walahi sijui. Najuzwa wenye familia yenye watoto wadogo na wazee mwaambiwa mtafute hifadhi vijijini kabisa maana hakutakuwa na nywinywi wala nywanywa! Miye narudi bongolala ninamtu wangu lazima alipie walahi. Nye Nye Nye. Mayiii! Na bado. Wale askari mwafikiri kuhamisha familia zenyu ndio mtapona. Hamisheni mpaka wazazi na wakwe zenyu. Maana sijui walahi. Na bado
Peleka ya kwako kwanza pumbavu unadhani watu bado ni wajinga ?
 
Tumefika Pabaya Sana kama Taifa,Jana kuna mama mmoja alikua anakemea mauaji ya oct.29 anasema kama kumuua wamuue haogopi kufa kwa kutetea Haki!
Inaonesha ni jinsi gani watu wamekata tamaa!
Dec 9. lolote linaweza kutokea kutokana na reaction ya vyombo vya ulinzi na usalama!
Humu Jf umemuona member ambaye amepoteza wanae wawili? Jamaa wamemfungia ndani hadi sasa, jana kuna post anasema atatoroka ili aende kondo kama ataona miili ya wanae.

Familia zilizopoteza ndugu na wapendwa wao wana uchungu mkali sana.
 
Nilimwambia dogo ahamishe familia huko Dar!!

Kifupi ni kwamba majini yaliyompa urais yanataka damu,na iliyomwagika haijatosha na kilele ni D9!

Mungu atusaidie sisi wanao ,utuhurumie eeh baba mwenyezi!
 
Wale wote mliopoteza ndugu na jamaa kutokana na mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi msisahau kulipa kisasi kwa askari polisi au familia zao kama mlivyolia na kuzika ndugu zenu lazima polisi nao walie na kuzika wapendwa wao kisasi ni lazima na hakuna mbadala wa kisasi lazima polisi wauwawe na familia zao.
Walipie wewe mwenye uchungu na ndugu zao
 
Mbona kama sio maandamano tena haya sasa kama imefikia hatua ya watu kuambiwa wahamishe familia zao si ujinga.

Bahati mbaya mnaenda kuharibu ambapo mmekua mkikimbilia kutafuta maisha "Dar" kila la kher kwenu.

Sasa wote wakienda vijijini nani ataandamana mjini.

lkn huyu ni mlengwa wa 2 kila taarifa anayo toa inakua na sababu nyuma
 
Back
Top Bottom