4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Huu ni mda familia ikuzike au izike nguo zako au nguo zao hakuna cha familia kwenda wapi , mfano wanangu wametoweka nimewekeza pale sio chini ya 40m walipokua wamefika nilitatajia endelea wekeza pale mfano
Wa kwaza alitaka uwa arubani wa ndege , mnajua gharama yake sio chini m 300.
Mdogo wake alitaka sana kuwa jesshini , ila nilisha mkubalia na kusema piga shule kwanza , wakuu ,wakuu nimevurugwa
Wa kwaza alitaka uwa arubani wa ndege , mnajua gharama yake sio chini m 300.
Mdogo wake alitaka sana kuwa jesshini , ila nilisha mkubalia na kusema piga shule kwanza , wakuu ,wakuu nimevurugwa