4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Aluta ContinuaNajuzwa hapa muitikio ni mkubwa. Watu waenda kushangaza ulimwengu. Najuzwa Mikoa haukoandamana itajibu vilivyo mapigo. Kitovu ni palepale DSM. Mbeya alusha na mwaza. Miye walahi sijui. Najuzwa wenye familia yenye watoto wadogo na wazee mwaambiwa mtafute hifadhi vijijini kabisa maana hakutakuwa na nywinywi wala nywanywa! Miye narudi bongolala ninamtu wangu lazima alipie walahi. Nye Nye Nye. Mayiii! Na bado. Wale askari mwafikiri kuhamisha familia zenyu ndio mtapona. Hamisheni mpaka wazazi na wakwe zenyu. Maana sijui walahi. Na bado
Mkeka utatik 9dec..Taadahri muhimu, hatuwezi jua mambo yataendaje
Tunawaombea tu mkuu, mliopo nyumbani na kwenye harakati za kudai haki.Mkeka utatik 9dec..
Ebu fanya jambo moja la kiungwana,reveal your ID na location kwanza ndugu mzalendo.Hakuna familia inayopelekwa kijijini na nimenoa panga langu kwa wiki ya pili mfululizo nasubiri wewe na hao nyumbu wenzako atakaeingia kwenye anga zangu kuleta fujo yoyote ile polisi watakuta nimeshawasaidia kuwatanguliza nyie nyumbu akhera kwa kuwachinja kama kuku
Nipe location yako nikufateEbu fanya jambo moja la kiungwana,reveal your ID na location kwanza ndugu mzalendo.
Coward,weak ass nigga.Nipe location yako nikufate
You're so cowardly even your own shadow frightens you.Coward,weak ass nigga.
unawatenga Songwe na Katoro?Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar wabaki wanaojitambua tuu
this time wasijaribu kugusa mali ya mtu hatopona mtuArusha, Mwanza, Mbeya na Dar wabaki wanaojitambua tuu
Mbona kama hapa neno kukata tamaa umelitumia vibaya bro....watu hawajakata tamaa ila mioyo imechoka na na sasa ni liwalo na liwe.Tumefika Pabaya Sana kama Taifa,Jana kuna mama mmoja alikua anakemea mauaji ya oct.29 anasema kama kumuua wamuue haogopi kufa kwa kutetea Haki!
Inaonesha ni jinsi gani watu wamekata tamaa!
Dec 9. lolote linaweza kutokea kutokana na reaction ya vyombo vya ulinzi na usalama!
Wewe na ccm ni wauwaji wakubwa na wabakaji wa uchaguziWewe hata kuandika Arusha tu umeshindwa? Aseee unaandika Alusha halafu upo kama zezeta wewe
Mkuu unanionea bure, swali familia ziondoke mjini kwani kuna nini? Maandamano tu ama kuna uhalifu?Wewe na ccm ni wauwaji wakubwa na wabakaji wa uchaguzi
Wahuni wanataka kupora mali ila tutapambana naoHii ya kukimbia mji naiwazia sana
Sswa uko wapi nije kukusalimiaHakuna familia inayopelekwa kijijini na nimenoa panga langu kwa wiki ya pili mfululizo nasubiri wewe na hao nyumbu wenzako atakaeingia kwenye anga zangu kuleta fujo yoyote ile polisi watakuta nimeshawasaidia kuwatanguliza nyie nyumbu akhera kwa kuwachinja kama kuku