PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nye tokeni. Muwe wengi sana. Msifanye vurugu. Msipore. Musiibe. Musichome. Tokeni kwa wingi. Mwekuwa wengi dunia itajua yote. Huyu samuya ataelewa somo. Tokeni D9. Mwasema siye JW tuliwasaliti. Tunataka heshima yenyu irejee. Twataka kuthibitisha siye ni jeshi la wananchi. Muradi mwe wengi. Hakuna tumbili wakuwapiga risasi. Mtoke kwa wingi. Mkitoka kidogo mmetusaliti. Tokeni wengi tupo upande wenyu. Na bado
 
Sambaza ukweli huu
 
Nyumbu ni chakula cha Mamba siku zote .


D9 watu wachache wa kuandamana watakuepo Ila hawatoleta negative impacts kwakuwa lengo Kuu limeshafikiwa kumpata kiuongozi mkuu wa Tanganyika.

Endeleeni kufanya poor calculations kwa kutotumia akili majibu mtayapata .
 
Sijakuelewa, kurudisha heshima ha JW kwa vipi?
 
Nataka mapinduzi ila propaganda za akina MANGE sizitaki.
TPDF linafanya kazi kwa taratibu na kwa maelekezo ya viongozi wao.
Kama mkuu wa majeshi hajawaambia kitu hawatafanya lolote.
Cha kuangalia ni overview ya CDF juu ya waandamanaji.
Mkuu wa majeshi alishasema ni watia fujo na wahuni. Kwahiyo waandamanaji kwa mujibu wa CDF watashughulikiwa sawasawa na wahuni na wavuruga amani.
Yaani jeshi ni amri na utii. ukiambiwa songa mbele ni mbele, kulia ni kulia tu.
Propaganda za kipuuzi kama hizi nilizipinga kuelekea 29 OCT na mliona kilichotokea
 
A lot of people will not understand this Nigger

Mimi niliwaambia hapa wakasema ni chawa.

Zipo njia za kuwatoa Ccm Ila sio kwa kutumia security Agency
 
Wewe jamaa nadhani Kuna nati hazipo sawa kichwani, unaropoka hovyo na kubadibadili kambi
 
Father kutoka tunatoka kama mchanga wa bahari. Nimemwambia dogo asipotoka ahame kwangu

La pili na la mwisho hatuwategemei tena. Mtakalo amua ni ninyi wenyewe
 
Hakuna mtakacho kipata kwenye hayo maandamano, serikali walicho kuwa wanakitaka wamesha kipata, rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wamesha apishwa, wamwsha undaserikali, kazi imeisha. Hii ndio imesha toka wazee, subirini tena 2030 tu.
 
Sawa
 
Hakuna mtakacho kipata kwenye hayo maandamano, serikali walicho kuwa wanakitaka wamesha kipata, rais, waziri mkuu na mawaziri wengine wamesha apishwa, wamwsha undaserikali, kazi imeisha. Hii ndio imesha toka wazee, subirini tena 2030 tu.
Sawa
 
Wapumbavu nyinyi mlishaua watu, hamna thamdni tena kwa watanzania.
 
A lot of motherfuckers will not understand this Nigger

Mimi niliwaambia hapa wakasema ni chawa.

Zipo njia za kuwatoa Ccm Ila sio kwa kutumia security Agency
Tuambie ni njia gani hizo, reform hamtaki.. we mwenyewe umejionea uchaguzi wa mwaka huu jinsi ulikuwa mtu m1 anapiga kula 10k peke yake viongozi wa chama pinzani wanawafungia chumbani kwao.

Ni njia gani hiyo unayosema ww, tuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…