LiveAndDirect
Member
- Jul 24, 2025
- 98
- 94
💯Nyie hamna tofauti na madada poa kwa sasa
Mpaka Iddy, Christmas, Easter na New Year sio?Sasa hivi kila kwenye national holiday; uhuru, Muungano, n.k iwe ni maandamano tu. Mpaka watawala dhalimu waachie madaraka. Shubaamit
Sahau hiyo habari.Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.
Utagusana na risasi ukiwa njiani kuelekea AkheraSahau hiyo habari.
Round hii hakuna atakayeguswa.
Alitisha Muliro na IGP bado watu wakatoka sembuse wewe kidampa usiye hata na rungu.Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.
Kaandike hii au uingie live tiktok na instagram huko ndio kuna gen z uone kama ma gen z wataogopa. hapa jf ni mafaza kama wewe na mashangazi tu unatupigia kelele tu.Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.
Sasa hivi wanakazi ya kukana tu vipeperushi vyao. Mziki wa mass grave wa CNN unawapa njozi za giza sana wanaiona ICC kila siku ndotoniAlitisha Muliro na watu wakatoka sembuse wewe kidampa usiye hata na rungu.
Wacha upumbavu wewe! Gen-Z mmeshawaua wala hawana cha kupoteza tena! Tutaona kama mtawamaliza wote! Gen-Z wameshakubali kufa mashahidi wa haki ya Tanganyika na tutawaenzi milele!Umetoka zako Kimara Bonyokwa huko unataka kutetewa na CNN. Jichanganye hiyo tarehe ujishindie tiketi ya Parapanda.
#Haswa wanachuo mnakwenda kwisha kwa ujinga wenu.