Sasa hivi nimetelemka kwenye daladala. Mkusanya ushuru wa vidaladala akasema jana hujalipa. Ikawa kuzozana. Dereva akasema yeye jana nzima hakuingia stend hivyo hadaiwi.
Tukaondoka...Dereva akasema Bado SIKU TANO, TUTAKUTANA!
Mimi kwa ninavyowajuwa CCM , hawa viumbe hawajui maridhiano , wangetekeleza huku Zanzibar na wameuwa watu mara nyingi tu na kufanya mazungumzo mara nyingi na mwisho wamekuja kufuja tena uchaguzi. CCM kazowea vya kunyonga tu tu , wamegeuka sikio lisilosikia dawa yoyote. Mti na macho Chadema
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu ("Key Word Search") umebaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli bali ni ya kutengenezwa na wapotoshaji kwani haijachapishwa katika ukurasa rasmi wa CHADEMA.