AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Huruma sana... na muda ndio ushaisha hivyo tena hakuna kurudi nyumaHabari Mkuu,
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu ("Key Word Search") umebaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli bali ni ya kutengenezwa na wapotoshaji kwani haijachapishwa katika ukurasa rasmi wa CHADEMA.
unaweza kusoma ripoti kamili hapo juu
Fake! Lugha na style iliyotumika sio ya CHADEMA.
Huyu anatakiwa afirweMiye zimwi walahi likujualo. Waniudhi wajua lakini sitaki mwisho wako uwe karibu kiasi hiki. Samuya ima wataka ama huraki lakini kujua ujue. Kuna wanaokula kisogo mayi mayi. Punguza wakuwaamini. Wajua nasema nini miye. Fanya ukae chonjo ujifiche walau Siku ine. Wajue wachache ulipo. Wanidharau Siku zote lakini udugu hili hapa. Nye Nye watu wabaya Sana. Miye sipo. Na bado
Kwa tafiti zangu nimeona vijana washakimbia mjiModerator hehee unganisheni zote mwataka nini Nye. Waambieni wasione tuko kimya wakadhani tumechurura. Siye tupo Sana. Bila kuchoka walahi. Twakomboa nchi kutoka kwa wakoloni weusi. Vurugu walianza wao. Kuua walianza wao. Kufa hawafi wao immortal hehehee. Agustino Polepole acha kihelehele tulia tuli utaingia mchezoni baadaye. Tuachie D9 siye. Hawafi hao. Waishi akhera hao. Siye twafa. Tubebe picha za waliowaua. Mabango yapepee. Bila woga. Vurugu waanze wao. Siye tutamaliza. Na bado
Kwa tafiti zangu nimeona vijana washakimbia mji
Uweni na nyieNa bado. Siye twafa nye hamfi.
Immortal hao
Uweni na nyie
Basi tumwachie mungu tuHehehe! Siye sisimizi twauaje immortal. Bila kuchoka
utaona D9 tutamuachia mungu.Basi tumwachie mungu tu