heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Au we ndo yule bestie ake mama wa mipasho waja leo kuondoka majaliwa nyumba shoga nyumba mgangaMiye zimwi walahi likujualo. Waniudhi wajua lakini sitaki mwisho wako uwe karibu kiasi hiki. Samuya ima wataka ama huraki lakini kujua ujue. Kuna wanaokula kisogo mayi mayi. Punguza wakuwaamini. Wajua nasema nini miye. Fanya ukae chonjo ujifiche walau Siku ine. Wajue wachache ulipo. Wanidharau Siku zote lakini udugu hili hapa. Nye Nye watu wabaya Sana. Miye sipo. Na bado
Hapa Mbeya tupo kwenye standby mode ukirusha jiwe juu ya bati au tairi lagari likipasuka tu..Hi imeenda... Mimi nitachukua ushungi
Kimya kikuuu huja na mshindo
Mliomuahidi Genius Man mje huku, ameshakua sasa mumpe Taifa lake aondoke nalo.Zamani tuliambiwa vijana ndo Taifa la kesho sasa kesho imefika vijana tunahitaji Taifa letu D9
Upon sahihiZamani tuliambiwa vijana ndo Taifa la kesho sasa kesho imefika vijana tunahitaji Taifa letu D9
Tatizo utakutamuandamaji anamrukia polisi amnyang'anye silahaThis time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
Mods wameona wakuunganishie uzi tu 🤣D9 Wahuni wafunge virago vyao mapema hii inaitwa safisha wahuni wasifikiri mziki ni mdogo