PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
D9 Tunataka Gen z million 15 ikulu na bungeni kisha kazi inaisha asubui tu, tunaposema hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi wataelewa.

Tena hao machawa watalala na viatu kama sio kukimbia nchi.
 
Reactions: Lax
Mapinduzi ni jambo dogo kuliko mauaji na utekaji, anaye fikiri mapinduzi ni suala zito kuliko uhai ni chizi hana akili.

Mapinduzi bado hayatoshi hata nusu kulipa damu za watu waliouliwa. Huwezi kuua halafu tukakuacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…