Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,145
- 5,419
Situmwi mkuu, ila uhalisia ndio huo munatumika kwa maslahi ya wengine ambao hawata wakumbuka siku wakikalia hizo mali zaidi ya familia zao, munapaswa kuhurumiwaKwa hio unataka kusemaje? Umeshamaliza na aliekutuma ameshakupa buku 7/10 lako?
Ukimaliza useme wewe umetumiwa mara ya mwisho lini au mpaka leo bado wanakutumia?Situmwi mkuu, ila uhalisia ndio huo munatumika kwa maslahi ya wengine ambao hawata wakumbuka siku wakikalia hizo mali zaidi ya familia zao, munapaswa kuhurumiwa
Sio smart kivile bali wana uthubutu na mamamuzi ya papo kwa papo na HAWAOGOPIGen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
Umekuaje leo gear zimebadirika angani...?genz ni kizazi bora
nimekujibu ulivotaka kuskiaUmekuaje leo gear zimebadirika angani...?
Leo wengi mmekuja kitofauti sijui nini kimewapata machawa....nimekujibu ulivotaka kuskia
Yeah, kwenye u-smart siyo kwa kweli! Hawana hiyo kitu! Ila visumbufu! Ambaye hana hivi viumbe nyumbani kwake ashukuru sana!Sio smart kivile bali wana uthubutu na mamamuzi ya papo kwa papo na HAWAOGOPI
Hapa umedanganya! Mbona wa mishahara tupo na Gen-Z wetu wanapiga shale za maana tu! Ukikuta wa hivyo hajawapeleka shule hilo ni andazi kama maandazi mengine!anakufa bila kuwaendeleza wanae.
Nina harcopy tu. Kukipata online .. bei yake imechangamka kiasiattach hapa hiyo book.
Gen Z haina upekee wowote. Kimsingi wamejikuta wapo wengi baadhi wakiwa na elimu huku kukiwa na urahisi wa mitandao uliobuniwa na watangulizi wao. Kwa kuwa hawana cha kupoteza, wapo tayari kufanya lolote.Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
Yaan hatari tupuu.nanauka kapata ulaji mkubwa na marupu rupu kibao kisa GEN z