permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Hawajagundua chochote, wamejikuta ni lost generation na hivyo wapo tayari kurisk chochote.Hao Gen Z wamegundua nini kwenye technology?mbona hata kila kitu vimeletwa na vizazi vya nyuma..mfano.ndege,simu,computer,tv,redio n.k naona wana ujasiri tu wakudai haki.
Na ndio kizazi kinachotumika kuwapambania wengine nao wapate nafasi ya kuendesha ma V8 na kujilimbikizia mali za umma ambazo kwa sasa hawazipati
Acheni huu ujinga wa kifikiri gen z wanatumika. Incompetence na corruption katika mifumo ya kiuongozi mbona zinaonekana kwa mtu yoyote mwenye akili timamu. Dogo anasota mtaani kutaguta ajira halafu anaona mtoto wa mkuu wa usalama wa taifa anachezea dola laki 3(kibongo bongo ni takribani milion 700) tena na dole la kati anaonyeshewa. Dogo kama huyu akiandamana utasema amechochewa?Na ndio kizazi kinachotumika kuwapambania wengine nao wapate nafasi ya kuendesha ma V8 na kujilimbikizia mali za umma ambazo kwa sasa hawazipati
Sisi tu tuliozaliwa early 90's tulipandikizwa ujinga mwingi sana sipati picha wenzetu wa 70's uko. Nakumbuka wakati nipo primary around darasala 3 hivi kuna mwalimu aliniambia Nyerere ndio mtu mwenye akili zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Kila nikikumbuka kwamba niliamini kauli ya yule mwalimu huwa nabaki kucheka tu.Sio kuwa wana akili sana , Bali hawakujazwa ujamaa vichwani mwao wala hotuba za kale.
Wao wanajua kujitafutia maisha Yao zaidi
Maneno ya bla bla wameona hayawapi ugali wa kila siku
Mitandao imewafungua sana vijana wa leo na Ndio maana wanajua na kuona kila kitu
Wa zamani tulipewa elimu na kulishwa mengi sana ambayo hayajawasaidia wengi ila kuwa mfanyakazi wa mishahara mpaka ana staafu na mwisho wa siku anakufa bila kuwaendeleza wanae.
Hawa wa sasa labda watoto wao ambao wataitwa Gen Beta watakuwa na maendeleo zaidi
Ujamaa mbaya sanaSisi tu tuliozaliwa early 90's tulipandikizwa ujinga mwingi sana sipati picha wenzetu wa 70's uko. Nakumbuka wakati nipo primary around darasala 3 hivi kuna mwalimu aliniambia Nyerere ndio mtu mwenye akili zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Kila nikikumbuka kwamba niliamini kauli ya yule mwalimu huwa nabaki kucheka tu.