Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa bali anatokea kiasili basi inakuwa haina tofauti na kikundi cha wahuni hatakama lengo lao ni zuri
Gen z wamekua wakitumia ngumu kuwashawishi baadhi ya viongozi wastaafu kama yule jaji mstaafu anaitwa David maranga kama sijakosea agombee urais ila amekuwa na uoga hii inaonyesha kabisa kuna tatizo mahali kwenye movement yao unalazimishaje mtu awe kiongozi hili ni kosa kubwa sana ambalo wanaweza wasilione na hata wakipewa nchi itakuwa ni mwendo wa vurugu
Kenya ni nchi pekee East afrika ambayo angalau wana mfumo mzuri wa uchaguzi kwanini wasijipange na uchaguzi wa 2027 wakaandaa watu watakaopambana na Ruto
Kenya hakuna mawakala wa vyama pinzani kuondolewa vituoni, watu hawakatwi majina hovyo, uhesabu wa kura uko wazi kwanini wasitumie nafasi ambayo nchi nyingine majirani zao hawana ila wanayo wao
Kuna mdada nimemuona analia sana duka lake limevamiwa na kuharibiwa haribiwa ile imeniuma sana ugumu wako wa maisha usiumalizie kwa watu ambao hata sio wahusika
Yale maandamano yao wanayafanya for fun hakuna vision au long term goals zozote wanasema Ruto aondoke akishaondoka ndo matatizo yao yataondoka automatically
Wanachokipigania ni kikubwa sana kuliko wanavyodhania