Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

Humu ndani unahisi ni wewe peke yako umetuzidi kufahamu historia?
Historia ya dunia baada ya Adam imejaa usaliti, uchafu wa kila aina hayo mambo ya utekaji yalikuwepo yokea zamani
Hakuna kipya huku duniani ni marudio kinachobadiliks ni technologis ila human behaviour ni zile zile

Njia ya kuendea madaraka kama ya Urais imejaa uchafu wa kila aina marekani anajiona ni kinara wa demokrasia ila mwaka jana tunaona trump magumu aliyopita tatizo letu sisi wafrika tunapenda shortcut
 
Hawahitaji mbeba maono, na gen z si wahuni

Wanacho combat ni mistreatment ya vyombo vya serikal agaist raia

Yale maandaman hamna politics bali ni ni hate against serikali, is why husikii wakimpigoa kampeni mtu yoyote
Hii walizidi,unawarushia polisi bomu, halafu unataka kwenda bungeni na ofisi ya rais kufanya nini!?..Wana lao jambo,acha wabondwe
 
Hii walizidi,unawarushia polisi bomu, halafu unataka kwenda bungeni na ofisi ya rais kufanya nini!?..Wana lao jambo,acha wabondwe
Unaenda kuleta vurugu bungen alafu mda huo huo una ambitious za kuwa mbunge wale gen z utoto unawasumbua alafu watu wanawasifia

Yale maandamano yao wanayafanya for fun hakuna vision au long term goals zozote wanasema Ruto aondoke akishaondoka ndo matatizo yao yataondoka automatically
 
20250627_081222.jpg
 
Hiyo mbinu yao ya kudai haki kwa kuumiza wengine sio sawa kabisa.

Ni wazi demokrasia imewashinda wakenya. Wanaharibu miundombinu, wanavunja biashara za watu na kuiba mali, wanaharibu majengo na kuchoma moro magari hovyo.

Hizo ni vurugu sasa.
 
Back
Top Bottom