Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Minaongelea kenya na sio TanzaniaNa nyie mbeba maono yenu ni MWIJAKU au baba levo?
KAZI ni kipimo cha utu
Hii ni International Forum
Hawahitaji mbeba maono, na gen z si wahuniNi mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa bali anatokea kiasili basi inakuwa haina tofauti na kikundi cha wahuni hatakama lengo lao ni zuri
Gen z wamekua wakitumia ngumu kuwashawishi baadhi ya viongozi wastaafu kama yule jaji mstaafu anaitwa David maranga kama sijakosea agombee urais ila amekuwa na uoga hii inaonyesha kabisa kuna tatizo mahali kwenye movement yao unalazimishaje mtu awe kiongozi hili ni kosa kubwa sana ambalo wanaweza wasilione na hata wakipewa nchi itakuwa ni mwendo wa vurugu
Wanachokipigania ni kikubwa kuliko wanavyodhania
Endelea kuimba mitano tena , hutoeza elewa mamb ya Kenya yapo juu ya uwezo wakoNi mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa bali anatokea kiasili basi inakuwa haina tofauti na kikundi cha wahuni hatakama lengo lao ni zuri
Gen z wamekua wakitumia ngumu kuwashawishi baadhi ya viongozi wastaafu kama yule jaji mstaafu anaitwa David maranga kama sijakosea agombee urais ila amekuwa na uoga hii inaonyesha kabisa kuna tatizo mahali kwenye movement yao unalazimishaje mtu awe kiongozi hili ni kosa kubwa sana ambalo wanaweza wasilione na hata wakipewa nchi itakuwa ni mwendo wa vurugu
Wanachokipigania ni kikubwa kuliko wanavyodhania
Ni kweli kuvamia maduka na kuiba kupo juu ya uwezo wanguEndelea kuimba mitano tena , hutoeza elewa mamb ya Kenya yapo juu ya uwezo wako
Everything revolve around politics na ndo kosa wanalofanya kile wanachofanya ni siasaHawahitaji mbeba maono, na gen z si wahuni
Wanacho combat ni mistreatment ya vyombo vya serikal agaist raia
Yale maandaman hamna politics bali ni ni hate against serikali, is why husikii wakimpigoa kampeni mtu yoyote
Wawe na mbeba maono ili mpate urahisi wa kumnunua siyo?Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati
Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi
Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa bali anatokea kiasili basi inakuwa haina tofauti na kikundi cha wahuni hatakama lengo lao ni zuri
Gen z wamekua wakitumia ngumu kuwashawishi baadhi ya viongozi wastaafu kama yule jaji mstaafu anaitwa David maranga kama sijakosea agombee urais ila amekuwa na uoga hii inaonyesha kabisa kuna tatizo mahali kwenye movement yao unalazimishaje mtu awe kiongozi hili ni kosa kubwa sana ambalo wanaweza wasilione na hata wakipewa nchi itakuwa ni mwendo wa vurugu
Wanachokipigania ni kikubwa kuliko wanavyodhania
Waafrika somen historia movement zote dunian zilikuwa na kiongoziWawe na mbeba maono ili mpate urahisi wa kumnunua siyo?
Jambo lolote likiwa halina kiongozi achana naloUnataka wawe na kiongozi ili serikali imle kichwa
Nyie wasiojulikana mnafikiria kuua tu
Sasa kwanini mnavunja maduka na kubeba mali za watu kama nyinyi sio wakora nnmistreatment
Sio lazima kila kitu kifuate historia..miaka ya sasa kua na mbeba maono ni kutafuta kununuliwa tu na kuzimwa matarajio.Waafrika somen historia movement zote dunian zilikuwa na kiongozi