Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Hayo mambo ya usaliti tokea zaman yalikuwepo ndo maana muwe mnapenda kusoma historiaSio lazima kila kitu kifuate historia..miaka ya sasa kua na mbeba maono ni kutafuta kununuliwa tu na kuzimwa matarajio.
Cha msingi kila mtu abebe maono as long as yanafanana serikali iyazingatie
Exactly hio ndo point yangu umeielezea vizuri sanaWanahemka sana bila kuwa na mpango kazi na focus
Ni vijana wadogo na wenye hatma kubwa mbeleni lakini kwa style wanayoenda nayo serikali itaendelea kubaki mikononi mwa walionayo
Ndo hapo kuvuja maduka ya watu kuna-uhusiano gani na madai yako wale wenye maduka nimewaonea huruma sana roho imeniuma sio fairSasa kwanini mnavunja maduka na kubeba mali za watu kama nyinyi sio wakora nn
Humu ndani unahisi ni wewe peke yako umetuzidi kufahamu historia?Hayo mambo ya usaliti tokea zaman yalikuwepo ndo maana muwe mnapenda kusoma historia
Historia ya dunia baada ya Adam imejaa usaliti, uchafu wa kila aina hayo mambo ya utekaji yalikuwepo yokea zamaniHumu ndani unahisi ni wewe peke yako umetuzidi kufahamu historia?
Hii walizidi,unawarushia polisi bomu, halafu unataka kwenda bungeni na ofisi ya rais kufanya nini!?..Wana lao jambo,acha wabondweHawahitaji mbeba maono, na gen z si wahuni
Wanacho combat ni mistreatment ya vyombo vya serikal agaist raia
Yale maandaman hamna politics bali ni ni hate against serikali, is why husikii wakimpigoa kampeni mtu yoyote
Unaenda kuleta vurugu bungen alafu mda huo huo una ambitious za kuwa mbunge wale gen z utoto unawasumbua alafu watu wanawasifiaHii walizidi,unawarushia polisi bomu, halafu unataka kwenda bungeni na ofisi ya rais kufanya nini!?..Wana lao jambo,acha wabondwe
Sawa mzunguWaafrika somen historia movement zote dunian zilikuwa na kiongozi