Gen Z wa Tanzania mkiacha kugawanyika kwa misingi ya kiitikadi ya kisiasa mtajikomboa haraka

Vijana walamba miguu ya wenzao ni hasara kwa Taifa na ni fedheha kwa wazazi wao!

Mtoto si riziki wewe!

Riziki utakuwa wewe mwenye kuitisha wengine ila wewe haumo?

Bure kabisa!
 
Riziki utakuwa wewe mwenye kuitisha wengine ila wewe haumo?

Bure kabisa!
Mimi na baba yako siyo Gen Z, lakini tuna masikitiko kuwa na litoto siyo riziki ni heri baba yako angepiga punyeto!
 
Mimi na baba yako siyo Gen Z, lakini tuna masikitiko kuwa na litoto siyo riziki ni heri baba yako angepiga punyeto!

Makasiriko ya nini ndugu?

Kwa hiyo wewe siyo Gen Z na hapa upo kuwaitisha Gen Z?

Kama ndivyo huoni uko kama unawaitisha kama huyu mwamba hapa Kwa maslahi yako tu?



Hudhani kama wewe haumo kwenye wito huo busara ilikuwa kukaa kimya kuwasubiri waitishane wenyewe?

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

Tafakari, unadhani uzi huo haukuhusu?

Kujaribu kutumia wengine kama ndomu haikubaliki.
 
Mimi na baba yako tunasikitikia uzee wako ukiwa fukara na mtumwa! Sisi kazi tumeimaliza ila tungefurahi kuona uzee wako unakuwa bora kuliko sisi!

Amka pigania haki yako achana na uchawa! Uchawa siyo dili, ungana na wenzako kupigania rasilimali za nchi yako!
 

Dogo sikia hii, achana na upumbavu kwa maana miye naweza kuwa niko na babako hapa tunakushangaa wewe ambaye ungependa nani akupiganie wewe ukiwa umekaa nyumbani.

Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

Raila anapigania uhuru sambamba na Gen Z ndiyo maana wanao uthubutu wa kuendelea mbele.

Kama unasubiria mtu wa kupigania wewe ukiwa nyumbani endelea kukusubiria hadi Yesu kristo aje mara ya 2.

Liabilities kwenye ukombozi wa nchi hii ni watu mufilisi kama wewe.
 
Mimi sio generation Z ni millenial kwa hiyo haya nayoongea ni kufanya reality check.

Kwa kupitia paragraphs zako ni sawa na kusema mlifumbia macho kila kitu kwa sababu maisha yenu yalikuwa ni rahisi. Kiufupi mlikosa vision ndio maana hamkuwa proactive na sasa mmewapasishia matatizo generation Z ili wawe reactive

Ni umimi huo huo mliouasisi na kuuendeleza ndio unafanya watu leo hii wafikirie urahisi wa maisha yao binafsi kuliko future ya taifa hili..

Kuhusu issue ya usomi ni kweli mlikuwa wachache lakini pia haikuchukua wasomi wengi kuleta uhuru, vipi nyie kwa uchache wenu mlifanya nini??.....

Kingine usiseme hakukuwa na mikataba mibovu kwa sababu msingi mbovu mlioacha utengenezwe haswa wa kikatiba ndio ulioleta shida hizi zote. Na usisahau turning point ya nchi hii kutoka kuwa taifa la producers kuwa la consumers kwa ubinafsishaji holela..
Mikataba mibovu ya madini etc.. Ni 1990's .. 30 years kabla hawa mnaotaka wayarekebishe mnayoyaona hawajazaliwa

Hivyo utaepukaje hizi lawama

Na usiseme hawa watoto wafanye sisi tutawasupport ilhali wengi wenu bado mpo kwenye spaces of power na kama mlishindwa kupambana enzi zenu. Ni nini kitawathibitishia hawa watoto kweli mna dhamira ya dhati ku inga juhudi za mabadiliko kuliko mfumo uliowanufaisha ninyi na vizazi vyenu
 
Wao kutokufanya haihalalishi sisi kutokufanya
Sijakataza mtu asifanye ila vizazi vilivyopita visijione kama vinastahili kunyooshea vidole vizazi vya sasa kwa kushindwa kuondoa vitu ambavyo wao waliviruhusu vitokee
 
GenZ ni vijana wasomi kama ulivyowasikia wakenya, hawa wetu ni wa uchawambuzi wa mpira na kubeti, hawajui dunia inaendaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…