Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Ana watoto wanne,ada na wake watatu plus michepuko wwewe lazima aogope kufaa..
Gen Z wameshaamua kujitoa mhanga na kuna walioshuhudia wenzao wakifa na ndugu zao hao ndio wabaya sanaaa
Hii nchi maza atuachie nchi yetu jamani
 
Polisi hawajamalizana nao, waje tu.
Msije mkaanza kulia lia mara oo polisi mara oo wanajeshi kutoka sijui wapi.

Kuna msemo wa kikwetu unasema "okhwebha hakhe, omolhoyi akarurya"
 
Polisi hawajamalizana nao, waje tu.
Msije mkaanza kulia lia mara oo polisi mara oo wanajeshi kutoka sijui wapi.

Kuna msemo wa kikwetu unasema "okhwebha hakhe, omolhoyi akarurya"
Gen z hawaogopi kifo fikiria walikua hawana bunduki lakini siku sita wametamba subiri waje na bunduki watoe ubongo wa hao polisi waoga wa kifo maana inajulikana polisi wanaogopa kifo kama ukoma🤣🤣🤣🤣
 
Gen z hawaogopi kifo fikiria walikua hawana bunduki lakini siku sita wametamba subiri waje na bunduki watoe ubongo wa hao polisi waoga wa kifo maana inajulikana polisi wanaogopa kifo kama ukoma
Mbna wamepeleka mbali,?
 
Inasikitisha sana
 
Hawa askari polisi wetu hawajazoea mikiki mikiki. Kwanza sasa hvi polisi vijana wengi wanakwenda kwa sababu ya kukosa ajira mbadala siyo kama zamani watu walikuwa na passion na kazi ya uaskari polisi. Hivyo si rahisi sana wengi wao kurisk maisha yao kwenye mapambano ya ana kwa ana na watu wengi wenye silaha. Hata majambazi tu yakiwa yamejipanga vizuri yanawatoa kamasi.

Miaka fulani ya 2000 kurudi nyuma sikumbuki mwaka exact ila kulikuwa na vurugu kule Tarime askari polisi wakapelekwa huko kuzima hizo vurugu hao polisi walishenyentwa kinoma na Wakurya. Tena wakurya walikuwa wanatumia tu silaha za jadi kama pinde na mishale, mikuki n.k lakini polisi walisambaratishwa na kutawanyika hovyo na vibunduki vyao.

Polisi wetu ni majasiri tu kwa wananchi/watu wasiokuwa na silaha yoyote lakini wakikuta na watu wengi wenye silaha na wanaoweza kuzitumia vizuri hata kama ni silaha za jadi polisi wataita maji mma.
 
Sa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!
Waliochomewa mali ni wanufaika wa CCM.
Halafu mfumo wa demokrasia kwa wazungu ni tofauti na huku Afrika.
Kule watawala wanaongoza kwa kufuata katiba na chaguzi zao zipo independent na taratibu zao huzingatia katiba.
 
Mkishatangaza tarehe ya maandamano mjue hakutakuwa na maandamano…

Biblia inasema ‘Atarudi kama Mwivi/mwizi’ hii ndio silaha
 
Kwani nyumba za police wanapioish hampajui??familiar zao je nadhani mmenielewa
 
Ana watoto wanne,ada na wake watatu plus michepuko wwewe lazima aogope kufaa..
Gen Z wameshaamua kujitoa mhanga na kuna walioshuhudia wenzao wakifa na ndugu zao hao ndio wabaya sanaaa
Hii nchi maza atuachie nchi yetu jamani
Huku kwetu Gen z walivyokuja,polisi walikimbia balaa,hata kupiga risasi walikuwa wanajificha na wakawa wanauana wenyewe,
 
Jeshi watupe silaha wananchi tupambane
kama wao wameshindwa kutulinda!
 
Hakuna aliyesema silaha za moto. Ni maandamano ya amani. Unatafuta ushaidi wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…