Kwani kizazi kisichojitambua unategemea nini ?hawa iko siku wakiambiwa na Mange wale vinyesi watakula aisee.INASIKITISHA.Washaanza kupoteana sasa na hilo la Christmas ndo limewaharibia kabisa
Kwani kizazi kisichojitambua unategemea nini ?hawa iko siku wakiambiwa na Mange wale vinyesi watakula aisee.INASIKITISHA.Washaanza kupoteana sasa na hilo la Christmas ndo limewaharibia kabisa
Huna lolote wewe hukuwepo tarehe 9.Acha hadaa Mangi.Wewe ndio unasema
Utasherehekea ndani na mumeo mkuu. Vipi unahitaji kuongezewa mume?Yaani NIACHE kusherehekea sikukuu nikajiingize kwenye upuuzi unaoitwa kuandamana ili WAHUNI wachache kama mangi kimambi na maria sarungi walipwe mabilioni?Siwezi kufanya ujinga huo
Baba yako amecha ule mchezo mchafu?Utasherehekea ndani na mumeo mkuu. Vipi unahitaji kuongezewa mume?
Wewe haupo nchini utajuaje yalotukuta huku?Kwani tarehe 9 mlifungiwa ndani??
Tiktok achana nao wengi ni CCM na TISS wanajaribu kuzuia mijadala ya mikakatiKwhiyo mwaka hui xmass hakuna?
Huku tiktok ni wana mipango balaa Mungu atusaidie
Kwani Maria na Mange huwa wanajuaje?Wewe haupo nchini utajuaje yalotukuta huku?
Hata D25 na J1 wanasema hayana kikomoLakini simlisema maandamano ya tarehe 9 hayakuwa na kikomo ?
Karudie kumsikiliza waziri mkuu MwiguKwani tarehe 9 mlifungiwa ndani??
Andika kwa kiswahili umeandika kiingereza kibovuThe problem of these younger generations .
They believe that ,they have more information more than us at that time , b, coz the information it has on their fingertips.
But information without understanding is nothing you gotta be understand the information first
And who it is coming from
If they will keep believing these activists , Mange , Maria , .etc
Nothing will happen to them .
Ukoo wetu hatuui watu mkuuBaba yako amecha ule mchezo mchafu?
Yani kina simbachawene wasahau kula xmass ni bampa to bampaItakua kituko siku hio kuona wajeda na polisi wakisherehekea barabarani huku raia wakiwa lockdown. Safi Gen Z.