GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope.

Yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa Taifa hii kauli inanikeraga sana. Nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee.
we ni kapumbavu kajinga ka kwanza hivyo ndivyo nilivyo kutathimini
 
Ukiambiwa maana ya G-Z ni nini wala hujui; wengi wa G-Z wa Tanzania hawajihusishi sana kwa kuandika uozo kama wako. Wewe labda ni Millenia na kushuka
 
Watu wa mjini lini mtatoka na kupinga yanayoendelea chini ya utawala wa chama dola kongwe

MBOWE APASUA UKWELI ATAJA WAHUSIKA WA UTEKAJI, FAMILIA ZA MWAGA MACHOZI AMUOMBA RAIS JAMBO HILI....

1724496720004.png

View: https://m.youtube.com/watch?v=KrgSzK8MVUw
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope.

Yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa Taifa hii kauli inanikeraga sana. Nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee.
Nikweli maana huku gen z ni generation Zero! Na hakika wanachoweza ni kubet,kucheza pool table na kupiga puli.... Ptuuh!!
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope.

Yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa Taifa hii kauli inanikeraga sana. Nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee.
Sijui wewe unaandika nini hapa,ugumu wa maisha unachagua huyu ni mzee huyu ni kijana?,umeandika upoloto tupu hapa halafu unajiita gen Z
 
Back
Top Bottom