Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

Mkuu namchukia sana alie leta habari za gender leo mm mtoto wakiume naumizwa nashindwa kulia au kuongea kwa uwazi kisa tu mwanaume tume mezeshwa vitu vya kijinga that why tunakufa mapema kisa kuficha hisia
hakuna aliyekukataza kulia kisa wewe ni mwanaume,tunakataza kunyong'onyea ukiwa na suruali.kwamba wakati wote unatakiwa utulize akili zako maana maamuzi yako yanabeba hatima ya wengi.
mfano msibani yaani unataka ulie ugalegale kama dada zako,wakati tunasubiri maamuzi wapi mama yako akazikwe[emoji23][emoji23][emoji23],chozi litoke kidogo,kisha unafuta unasimama nakufungua ukurasa mpya.

mwanaume wa kweli sio kwamba halii,bali halii hadharani.sababu kubwa ni kwamba atawachanganya wanaotegemea maamuzi sahihi kutoka kwake,ni sawa na upishane na polisi amebeba bunduki mgongoni analia,huko alikotoka hata uwe komandoo lazima utafakari kwanza uende ama urudi kwanza usikilizie!!
 
Kwa hiyo maana ya gender ni mavazi? Au ni nini haswa, sijaelewa samahani

Mfano sex kuna mwanamke na mwanaume, kwenye gender kuna nini?
Gender imefungamanishwa na majukumu ya kijamii.

Kwamba kuna majukumu 'yakike' na 'yakiume'
 
Nyokooo weyeee kwa kupenda umbeyaa haujamboo, mbezi wazima??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Kabla sijasahau nyoooko nawwe wewe pia mpenda umbea. Ndio maana kama tunaanza chemistry hivi mbezi wazima huku uko vp
 
Ipo hivi my fact kuna sio kwenye nguo ila nimechukulia mfano ili apate kunielewa kwa uwepesi

Kuna vitu katika jamii yetu leo mimi nikionekana na fanya lazima nitadharaulika

Mfano mimi nimeumizwa na kitu hasira imepanda sana lakini natamani kulia au kuongea na watu ili wajue yaliyo ni thibu ila jamii imenitengeneza mimi kuwa sipaswi kulia au nitakapo jaribu kushare na watu tatizo lile wapo watakalo liona ni dogo sana kwa mwanaume kwasababu jamii imemtengeneza mwanaume kutoweza kuonyesha feeling zake mbele za hadhara ndio maan tunarudiwa kutendewa makosa yale yale kila siku kwasababu wengine hawajui kama haya tunayotendewa yana tuumiza tofauti na mwanamke akichukia ata show kuwa amechukuia na mtu atakuwa chonjo kutofamfanyia lile tena kwasababu anatambua kuwa atakwazika hapo sijui umenielewa
Kuwa mwanamke Sasa acha kulia lia
 
Sex ni maumbile
Gender ni jinsia

Jamii imejenga hoja baada ya ujuzi duniani kuongezeka unakuta mtu jinsia ya kike ila ana maumbile ya kiume teh teh teh teh
 
Mkuu wewe kama unatamani kuwa mwanamke wee uwe tu. Sasa mke wako analia nawewe unalia utakuwa mji huo?
Watoto nao wafanyaje Sasa?

Hiyo huwezi badirisha vitu hata kama ungekuwa vipi ndio maana mtoto wa kiume hata cheza yake ni kiume ingali Bado mdogo hata kulia kwake tu utagundua kuwa huyu wa kiume.
Kama mnaageda Zenu zingine semeni tu kuwa mnataka kutatuliwa.
 
Back
Top Bottom