General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

Na ndo maana nahisi Israel waliacha washambuliwe ili wamalizane na Gaza.
Lengo lao ni Iran, ila Iran kawa mjanja anachokozwa ila hataki kabisa
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Huwezi kubehave with Civility kwa gaidi anayekushambulia kila siku na makombora na kusababisha vifo vya raia wa nchi yako.

Tangu Oct 7 Hezbollah wamerusha zaidi ya makombora 8000 kuelekea Israel.
 
Nenda kapiganie haki ya boninyai segerea acha kuhara humu
 
I

Ila Iran si waarabu
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Huwa tunasema humu kuna utofauti kati ya kuua na kukusanya taarifa muhimu.

Mossad ni mahiri kuua ila CIA mahiri sana kukusanya taarifa za nchi hasimu sababu ya uwezo wa rasilimali watu,teknolojia, ushawishi na fedha walionao tena wanaweza kufanya hayo bila kulazimika kuua.
 
kuna mahali inteligensia yao ni kuchunguza chama flani.ndio kazi wanayo asubuh had jioni
 
Unaumia ukiwa wapi mkuu?. Hao ndio MOSSAD. Hawahitaji kupambwa,kuimbwa ama kulembwa,vitendo tu vitajieleza. Piga porojo zote,lakini kwa MOSSAD na IDF DEAL DONE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…