General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

Kuna vitu hujui.
Hao uliowataja sio intelligence organs, hao ni special comando forces kwaajil ya ku carry out impossible millitary missions, wao kazi yao ni ku engage baada ya kupewa taarifa zilizokuwa collected, analyzed wao ni ku lay down operations tu. Kwahiyo mossad ndio killa kitu. Pia hawa mossad ndio wanaowa feed Kidon as well ambapo hawa hawafany millitary mission ila covet secret assasinations kimya kimya bila kujulikana

Kwakifup mossad ni jidubwasha kuubwa sana..ndio roho ya Israel
Na ndo maana nahisi Israel waliacha washambuliwe ili wamalizane na Gaza.
Lengo lao ni Iran, ila Iran kawa mjanja anachokozwa ila hataki kabisa
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Huwezi kubehave with Civility kwa gaidi anayekushambulia kila siku na makombora na kusababisha vifo vya raia wa nchi yako.

Tangu Oct 7 Hezbollah wamerusha zaidi ya makombora 8000 kuelekea Israel.
 
Tukitaka kupigania haki imabidi tujikane nafsi zetu asa ktk mitandao recodyetu inabaki apa watu km kins Nelson Mandela wanaishimiwa kwasababu linapokuja jambo lenyekutaka kutasfiri aki uwa awaongozwi na imani zao bali wanaongozwa na aki tu akuna kupepesa macho ukweli ni huu. Diniyangu nisamee apa ukweli ni huuu. Dini zinatufanya tuwe wapumbafu ukweli upo ivi lkn ww unafumba jicho imani ndio mwongozo gaid uyu kisa imani Nelson akuwa bwege kama ww atanyelele miaka ile dunia aikuwa kijiji lkn aligoma kuacha ukweli wa aki alisimama imala kupigania aki..
Nenda kapiganie haki ya boninyai segerea acha kuhara humu
 
I
Iran anawaponza nchi za kiarabu kuingia katika mgogoro na Israel. usiyeweza kushindana naye ama uishi kwa utulivu au uungane naye. sifurahishwi na mauaji ya pande zote. natamani amani waishi kwa kuvumiliana na kuelewana kila mtu afate mambo yake.
hakuna sehemu katika Quran wameamrishwa wakawapige wayahudi. ni akili za kihayawani za wairan na kuwatia ujinga wenzao mwishowe wao waarabu wanapata I

Iran anawaponza nchi za kiarabu kuingia katika mgogoro na Israel. usiyeweza kushindana naye ama uishi kwa utulivu au uungane naye. sifurahishwi na mauaji ya pande zote. natamani amani waishi kwa kuvumiliana na kuelewana kila mtu afate mambo yake.
hakuna sehemu katika Quran wameamrishwa wakawapige wayahudi. ni akili za kihayawani za wairan na kuwatia ujinga wenzao mwishowe wao waarabu wanapata madhara makubwa kuliko Israel.
Ila Iran si waarabu
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Huwa tunasema humu kuna utofauti kati ya kuua na kukusanya taarifa muhimu.

Mossad ni mahiri kuua ila CIA mahiri sana kukusanya taarifa za nchi hasimu sababu ya uwezo wa rasilimali watu,teknolojia, ushawishi na fedha walionao tena wanaweza kufanya hayo bila kulazimika kuua.
 
kuna mahali inteligensia yao ni kuchunguza chama flani.ndio kazi wanayo asubuh had jioni
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Unaumia ukiwa wapi mkuu?. Hao ndio MOSSAD. Hawahitaji kupambwa,kuimbwa ama kulembwa,vitendo tu vitajieleza. Piga porojo zote,lakini kwa MOSSAD na IDF DEAL DONE.
 
Back
Top Bottom