HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sio kufa tu bali miili yao haitapatikanaYeah!..walishambuliwa wakiwa kwenye mkutano, hivyo wamekufa wengi
Hapo wanafatilia kila aliyeingia wanamhesabu kama maiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kufa tu bali miili yao haitapatikanaYeah!..walishambuliwa wakiwa kwenye mkutano, hivyo wamekufa wengi
Na ndo maana nahisi Israel waliacha washambuliwe ili wamalizane na Gaza.Kuna vitu hujui.
Hao uliowataja sio intelligence organs, hao ni special comando forces kwaajil ya ku carry out impossible millitary missions, wao kazi yao ni ku engage baada ya kupewa taarifa zilizokuwa collected, analyzed wao ni ku lay down operations tu. Kwahiyo mossad ndio killa kitu. Pia hawa mossad ndio wanaowa feed Kidon as well ambapo hawa hawafany millitary mission ila covet secret assasinations kimya kimya bila kujulikana
Kwakifup mossad ni jidubwasha kuubwa sana..ndio roho ya Israel
Hata mimba yako ilitungwa kwa siri , ulikuja kupata utambuzi huo miaka mingi baada ya kuzaliwa kwakoWe ulijuaje kuwa za Siri?
Tutolee ujinga wako hapa!
Huwezi kubehave with Civility kwa gaidi anayekushambulia kila siku na makombora na kusababisha vifo vya raia wa nchi yako.Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Alafu ukute jini hilo hilo analo P didy pia muda liko kwenye party huko huku kiti anachanguliwa madevu devu na YahudiJini hawezi kuzuia uzito wa bunker buster 💣
Nenda kapiganie haki ya boninyai segerea acha kuhara humuTukitaka kupigania haki imabidi tujikane nafsi zetu asa ktk mitandao recodyetu inabaki apa watu km kins Nelson Mandela wanaishimiwa kwasababu linapokuja jambo lenyekutaka kutasfiri aki uwa awaongozwi na imani zao bali wanaongozwa na aki tu akuna kupepesa macho ukweli ni huu. Diniyangu nisamee apa ukweli ni huuu. Dini zinatufanya tuwe wapumbafu ukweli upo ivi lkn ww unafumba jicho imani ndio mwongozo gaid uyu kisa imani Nelson akuwa bwege kama ww atanyelele miaka ile dunia aikuwa kijiji lkn aligoma kuacha ukweli wa aki alisimama imala kupigania aki..
Huoni kama dunia inachangamka?Hivi kukiwa na utulivu watu awawezi kuishi binadamu ni wabinafsi sana
ghafla wakakutana na kitu kizitoWalikua kwenye kikao kizito hao majamaa.
Iran anawaponza nchi za kiarabu kuingia katika mgogoro na Israel. usiyeweza kushindana naye ama uishi kwa utulivu au uungane naye. sifurahishwi na mauaji ya pande zote. natamani amani waishi kwa kuvumiliana na kuelewana kila mtu afate mambo yake.
hakuna sehemu katika Quran wameamrishwa wakawapige wayahudi. ni akili za kihayawani za wairan na kuwatia ujinga wenzao mwishowe wao waarabu wanapata I
Ila Iran si waarabuIran anawaponza nchi za kiarabu kuingia katika mgogoro na Israel. usiyeweza kushindana naye ama uishi kwa utulivu au uungane naye. sifurahishwi na mauaji ya pande zote. natamani amani waishi kwa kuvumiliana na kuelewana kila mtu afate mambo yake.
hakuna sehemu katika Quran wameamrishwa wakawapige wayahudi. ni akili za kihayawani za wairan na kuwatia ujinga wenzao mwishowe wao waarabu wanapata madhara makubwa kuliko Israel.
Huwa tunasema humu kuna utofauti kati ya kuua na kukusanya taarifa muhimu.Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Unaumia ukiwa wapi mkuu?. Hao ndio MOSSAD. Hawahitaji kupambwa,kuimbwa ama kulembwa,vitendo tu vitajieleza. Piga porojo zote,lakini kwa MOSSAD na IDF DEAL DONE.Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.