General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

General Abbas Nilforooshan wa Irani naye ameuawa. Hassan Nasrallah hajaondoka peke yake ana wenzie wengi

Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Mkuu hebu nieleweshe kitu hivi Hamas nao walipovamia watu wakiwa kwenye sherehe ile october 7 ilikua ni ushujaa ile eenh?
 
Hivi kukiwa na utulivu watu awawezi kuishi binadamu ni wabinafsi sana
Hili jambo linafikirisha sana. Yaani binadamu anaona ni haki kabisa kutoa uhai wa binadamu mwingine! Kuna watu wamejipa mamalaka mkubwa sana hapa duniani.

I wish watu wangeishi kwa amani mpaka pale kifo kitakapo wachukua. Ila ndiyo hivyo tena; jambo hili haliwezekani kamwe. Maana wanadamu kila siku wanagundua silaha za kila aina! Na sehemu pekee za majaribio ni vitani.
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Hivi kumuuwa Osama nalo lilikuwa tukio la kigaidi eti? Mnanichanganya
 
Tukio la kigaidi lkn tutaimbiwa nyimbo umu mossad sijui vile lkn story entebe sijui vita siku6 gaza mwaka sasa wayahudi wanakula mlo mmoja kutoka kwa watekaji wao. Awajaweza kuwaokoa lkn kifo cha yule mzee Lebanon mijitu itakuja apa kututisha sijui waisrael awanyi wanapaa wakitembeya wadada wao uwa awaumwi. Tuache unafki mungu anatuona.
Una makasiriko sana answar sunna?😀😀😀😀 alafu usitugombeze basi.
 
Kuna vitu hujui.
Hao uliowataja sio intelligence organs, hao ni special comando forces kwaajil ya ku carry out impossible millitary missions, wao kazi yao ni ku engage baada ya kupewa taarifa zilizokuwa collected, analyzed wao ni ku lay down operations tu. Kwahiyo mossad ndio killa kitu. Pia hawa mossad ndio wanaowa feed Kidon as well ambapo hawa hawafany millitary mission ila covet secret assasinations kimya kimya bila kujulikana

Kwakifup mossad ni jidubwasha kuubwa sana..ndio roho ya Israel
Lilianzia kwa wapelelezi 12 Yericko
 
Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Walebanon hawawataki hao hizbollah wameiharibu Lebanon pia wao sio jeshi rasmi la Lebanon pili wanafuata amri kutoka Iran yaan Iran anaitawala Lebanon indirectly na sio Iran tu bali nchi zote zinazopakana na Iran bas Iran kapeleka majeshi yake na anayaendesha hayo maeneo , Je huu ni ushujaa kujua majirani zako ili kujifurahisha ww kuwa una nguvu kijeshi?
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Kwahiyoo ni Bora uue raia wasio na hatia na uache kiongozi unaegombana nae , ww kujua wasio na hatia ndo unaitwa civility na kuwaach wenye hatia kwako ndo civility

UKIITWA MNGESE UTAKATAAA ?
 
Iran anawaponza nchi za kiarabu kuingia katika mgogoro na Israel. usiyeweza kushindana naye ama uishi kwa utulivu au uungane naye. sifurahishwi na mauaji ya pande zote. natamani amani waishi kwa kuvumiliana na kuelewana kila mtu afate mambo yake.
hakuna sehemu katika Quran wameamrishwa wakawapige wayahudi. ni akili za kihayawani za wairan na kuwatia ujinga wenzao mwishowe wao waarabu wanapata madhara makubwa kuliko Israel.
 
Kwaiyo kuwashambulia watu wakiwa ktk mkutano mwenyeji na wageni wake ndio ushujaaa wa mossad au Israeli.. mbona ni ugaidi au mi sijaelewa wangefanya wenzao tungewasifu pia au tungepiga mikelele ya ugaid w kiislam kweli kuna mazuzu ila ujiona wanamiakili kumbe mitupu ata haki awaijui lkn ukiyasikia yanapigania aki .
Mkutano wa magaidi umesambaratishwa! Thats all good!!
 
Hio sio oparation ngumu kusambaza watu walioingia kwenye mkutano makao makuu ya oparation centre yao? Ni kama hezbo angekua na silaha kali kama hizo za kusambaza kwahio apo ni kuvizia
 
Kuua viongozi na watu muhimu katika nchi fulani mbona kila intelligence community duniani inaweza. Ila nchi nyingine huwa zinabehave with civility. Kwani unadhani Iran ikiamua kudedisha wanasiasa wa Israel inashindwa?
Ingekua rahisi putin angesha muua zelek au zeleki angesha muua putin
 
Back
Top Bottom